Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point za FIFA imekuajeHabari kubwa iliyonifikia hivi punde ni kwamba striker Donald Ngoma anatarajiwa kusaini mda wowote katika Club kubwa ya Simba.
Inasemekana Ngoma yupo katika mazungumzo ya mwisho na tajiri kijana Mohammed Dewji,na mda wowote atamwaga sahihi
Aichukue tu!Wivu wa nini wakati we ni mpenzi wa Toto Africans
Hata mwaka jana mlisema hivi hiviNadhani wengi wanasahau kwamba usajili huu wa sasa kwa timu ya Simba ni muelekeo wa mashindano makubwa ya Kimataifa, maana kwa hali hii tayari VPL msimu ujao ni kwa Simba tu, noway
Wewe ni mgeni humu ?Hivi nyie wana Yanga nini kinawauma?
Sasa ulitaka aichukue nani?Mo anainunua simba kilainii hapo mnazidisha madeni tu hadi msimu ukiisha mtakuwa mshatumia 10b zinabaki 10b akimalizia anaichukua simba.
Zile sio injuries za kweli ni mgomo kwa sababu hajalipwaDaah huyo Ngoma mbona ni wa kawaida sana aisee na pia injury zinakuwa hazimwendei mbali kama Sturridge wa liver nadhani simba watakuja kujuta sana baadae wasipokuwa makini kipindi hiki cha usajili maana si kwa matumizi hayo na pia wangejaribu kutazama performance ya mtu msimu uliopita kuliko kutazama jina hiii itawacost.
Huwa nachukia comments za kipumbavu Kama hzHuyo aliyesema hivyo ni wamatopeni mwenzio lkn yeye amekuzidi ufahamu
Sure! But also it can be 24 hoursIt can be even 10 years to come.....if that is a case.
Kama simba mbumbumbu wewe ni juha mpumbavuNdio zilikuwa swaga zao hizo huku wakidai Yanga tunasajili wazee! Nashangaa sasa hivi wanawasajili hao waliowaita madingi kwa mamilioni! Simba ni mambumbu daima!
Bahati nzuri aliyewaita nyie mambumbu ni Rage aliyekuwa kiongozi wenu! Punguza povuKama simba mbumbumbu wewe ni **** mpumbavu
Habari kubwa iliyonifikia hivi punde ni kwamba striker Donald Ngoma anatarajiwa kusaini mda wowote katika Club kubwa ya Simba.
Inasemekana Ngoma yupo katika mazungumzo ya mwisho na tajiri kijana Mohammed Dewji,na mda wowote atamwaga sahihi
Hebu ondoeni hii takataka aisee!Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com bofya link kupiga kura