Wildlifer JF-Expert Member Joined May 12, 2021 Posts 1,884 Reaction score 5,235 May 1, 2024 #41 Ni ishara kuwa team ya simba inaongozwa na watu wasio na dira wala Mipango hivyo wanafanya mambo kama mahoka tu na kuhadaa mashabiki.
Ni ishara kuwa team ya simba inaongozwa na watu wasio na dira wala Mipango hivyo wanafanya mambo kama mahoka tu na kuhadaa mashabiki.
Narekeremo JF-Expert Member Joined May 20, 2021 Posts 714 Reaction score 755 May 1, 2024 #42 Nyie kolo tumeni maombi tuwape wachezaji wote maana sie hata tukibaki na kina Nkane bado kichapo mtachezee tu iwe isiwe.
Nyie kolo tumeni maombi tuwape wachezaji wote maana sie hata tukibaki na kina Nkane bado kichapo mtachezee tu iwe isiwe.