Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

Ni ishara kuwa team ya simba inaongozwa na watu wasio na dira wala Mipango hivyo wanafanya mambo kama mahoka tu na kuhadaa mashabiki.
 
Nyie kolo tumeni maombi tuwape wachezaji wote maana sie hata tukibaki na kina Nkane bado kichapo mtachezee tu iwe isiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…