Simba kuifunga Yanga siyo kipimo sahihi Cha kujiamini kuwa wao ni Bora dhidi ya wydad Casablanca

Ho
Yanga kupewa odds nyingi siyo tafsri kuwa yanga ni underdog mzee tafuta hoja nyingine.
Hoja ipi nyingine?Uliona Man City akicheza na Leeds na Leeds akapewa odds nyingi.
Odds zinatolewa kwa timu kwa probability ya kushinda. Ukiwa underdog unapewa odds kubwa zaidi.
 
Hivi ni lazima uonyeshe upumbavu wako kila siku hapa JF?,tafuta kazi za kufanya dogo.
Dogo ni mfuko wa nyuma tuliza mapupu yako Kama umekosa chakuandika bimbilisa mavi wewe [emoji41]
 
Yanga sio level ya Wydad na wala haikaribii hizo level hata kwa mbali hivyo hatuwezi sisi kama Simba kuchukulia kipimo cha mechi ngumu ya Wydad toka kwa Yanga timu ambayo inashiriki shirikisho huko uje ulinganishe na Bingwa mtetezi wa Caf Champions League (kujikweza gani huku)

Tutamfunga Wydad kwa game plan ya kikubwa sio ile tuliyocheza na nyinyi ambao mlionekana wepesi sana hata kutengenexa nafasi za magoli tu hamuwezi ni kama mlikuwa mnacheza tu bora liende mkisubiria uzembe wa mabeki na kipa kama ilivyo kawaida yenu kwenye NBC premier League .

Timu (Yanga) haina kiungo mwenye ubunifu hata mmoja unacheza na timu hata kufanya mashambulizi ya kukupa presha mpinzani hakuna zaidi ya butua tu ili mradi ionekane umelenga lango [emoji3][emoji3] ni vichekesho kwa kweli eti timu ya aina ile inaweza kuongoza kundi lake .. huku wababe wao waliowatoa (Al Hilal) huku klabu bingwa hata robo wameshindwa kuiona
 
Hakuna asiyejua kuwa mchezo wa derby wowote pale duniani hata ukiwa Bora namna gani unaweza ukafungwa tu.
kwa hiyo hata Yanga alivyomfunga Simba pamoja na zile dro nikisema kwamba YANGA alikuwa akibahatisha nitakuwa nimesema urongo.
 
Ndege iliyowabeba wababe wenu naiona kwenye anga la Musoma sasa hivi. Baada ya saa 1 itakuwa JKNIA. Boeing 737-8B6 ya Air Morocco [emoji1173]
 
Horoya na vipers siyo timu zakujisifia mbona kwa rajacasablanca hamkuonesha ukubwa wenu??
 
Ndege iliyowabeba wababe wenu naiona kwenye anga la Musoma sasa hivi. Baada ya saa 1 itakuwa JKNIA. Boeing 737-8B6 ya Air Morocco [emoji1173]
Ngoja waje hao jamaaa wapige mtu kifo Cha mende.
 
odds nyingi ni kwa kua yanga alikua away, nimeweka sawa kwenye odds tu apo
Hakuna ulichoweka Sawa. Ukipewa odds nyingi maana yake ni underdog bila kujali uko nyumbani au away. Bayern Leo ana odds kubwa kuliko man city mgeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…