Simba kuifunga Yanga siyo kipimo sahihi Cha kujiamini kuwa wao ni Bora dhidi ya wydad Casablanca

Tuliza mapupu wewe bimbilisa mavi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Tuliza hasira wee utelembwe!
Nyie mipuuzi ya utopolo mlitarajia Simba ingefungwa goli nyingi, matokeo yake imekuwa tofauti na matarajio yenu, sasa kilichobaki ni kushikwa na hasira na kutema tema mate hovyo kama wajawazito!
Mkikumbuka na kile kichapo cha 2-0, basi mnakasirika na kutukana tukana hovyo tu!
Hapo mlipo mnajitia matumaini simba itaena kufungwa morocco!
Nyie jiaminisheni tu hivyo, ila mtaona yatakayotokea!
Zipo nyuzi nyingi sana za kuiponda simba mmezianzisha huku, lakini mwisho wa siku mnaumbuka na kuzikimbia ama mnaishia kutukana tu, kama unavyofanya wewe!
 
Sasa kwa akili zako Simba atatoka kwa wydad???

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa akili zako Simba atatoka kwa wydad???

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Kwani kwa akili zako si ulijua Simba itafungwa kwa Mkapa?
Mlijiaminisha na zile Polimilai mngrifunga Simba, leo mkiulizwa matokeo mnajitetea hakucheza Bangala!
Ni bora kuanzia sasa mkafunga midomo tu!
Hamtaamini kitakachotokea pale morroco!!
 
Acha hadithi za sungura na fisi huyo onyango Hana uwezo wakumzui wydad wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna asiyejua kuwa mchezo wa derby wowote pale duniani hata ukiwa Bora namna gani unaweza ukafungwa tu.
Naikumbuka yanga akina balama mapinduzi na ditram nchimbi (yanga tia maji tia maji) yanga ya kupitisha bakuli lakini lilipofika kwenye suala la derby yanga ilitunisha msuli mbele ya simba ya akina miqson na medie kagere.

Hiyo ndiyo Derby unaweza ukawa Bora lakini ukapigwa kipigo kitakatifu bila ya kutegemea.
Simba imeifunga yanga kwa goli mbili sifuri,
Simba sc haipaswi kuchukua matokeo yao dhidi ya yanga na kwenda nayo kimataifa nakuona kwamba wanamuweza wydad Casablanca.

Simba ifute matokeo hayo kimataifa iende kwa heshima/kuwaheshimu wydad Casablanca Tena kwa nidhamu kubwa sana lakini ikiamua kuingia na matokeo mfukoni, kitakacho wakuta ni zaidi ya rajacasablanca alichokifanya kwa mkapa.

Ili niwe na Imani na Simba sc kuingia nusu kimataifa ni mpaka atakapo wafunga wydad Casablanca goli zisizopungua nne au nakuendelea tofauti na hapo Simba isipoutumia vizuri uwanja wa nyumbani (kwa mkapa) basi itakua imekosa tiketi ya kufuzu nusu fainali kimataifa.
Kunywa sumu ufe kama umeudhika m mbwiga wewe
 
Back
Top Bottom