NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
Yaani wewe ndiyo popoma kabisa haujawahi kutokea aiseeHakuna ulichoweka Sawa. Ukipewa odds nyingi maana yake ni underdog bila kujali uko nyumbani au away. Bayern Leo ana odds kubwa kuliko man city mgeni.