Simba kuifunga Yanga siyo kipimo sahihi Cha kujiamini kuwa wao ni Bora dhidi ya wydad Casablanca

Hakuna ulichoweka Sawa. Ukipewa odds nyingi maana yake ni underdog bila kujali uko nyumbani au away. Bayern Leo ana odds kubwa kuliko man city mgeni.
Yaani wewe ndiyo popoma kabisa haujawahi kutokea aisee
 
Wewe Jamaa ni likilaza Sanaa. Kwa hiyo unaamini kila timu ikiwa away inapewa odds kubwa Kwa sababu ya ugeni. Hakika wewe ni likilaza.
Unaweza kusema ni tathimin gani zinaangaliwa nakusema kuwa timu fulani ni underdog.

Tengeneza hoja na sitaki utengeneze umbeya.
 
Hapo tunaenda Sawa. Underdog maana yake mshindani mwenye nafasi ndogo ya kushinda. Takwimu za timu ndio zinaplekea timu ipi ndio underdog. Takwimu zinahusisha performance za hizo timu kwenye ligi inazoshiriki, matokeo ya head to head, wachezaji muhimu wanaokosekana ,etc. Kwa hiyo hivyo vyote vinaangaliwa na kuhitimisha kuwa Kwa mechi hii timu fulani itakuwa underdog.
 
Bwana mdogo bado kabisa katika masuala ya mpira
 
Hapo tunaenda Sawa. Underdog maana yake mshindani mwenye nafasi ndogo ya kushinda. Takwimu za timu ndio zinaplekea timu ipi ndio underdog. Takwimu zinahusisha performance za hizo timu kwenye ligi inazoshiriki, matokeo ya head to head, wachezaji muhimu wanaokosekana ,etc. Kwa hiyo hivyo vyote vinaangaliwa na kuhitimisha kuwa Kwa mechi hii timu fulani itakuwa underdog.
Ni kipi kichotazamwa mpaka kusema kuwa yanga ni underdog kwa Simba ???
 
odds nyingi ni kwa kua yanga alikua away, nimeweka sawa kwenye odds tu apo
Yaani unataka kutuambia Simba na Yanga wakicheza Kwa Mkapa kuna timu ina advantage ya kuwa home na nyingine away.
Zinakuwa na home na away kwa sababu ya ratiba tu.
Kwa mantiki yako timu dhaifu ikipangwa na timu imara na timu imara ikawa ipo away,basi timu imara inakuwa na odds nyingi kwa sababu inacheza away?
 
Kwani wao wamesema yanga ndio kigezo chao.Sio yanga walisema simba wataifunga sababu wameifunga TP wazembe.Washabiki lakini.
 
Hayo umesema wewe Sasa Lakini syo takwimu za kimpira
Ndio takwimu zenyewe hizo. Man city ni bora kuliko Arsenal pamoja na kwamba Arsenal anaongoza ligi. Ubora WA man city unaonekana kutokana na performance kwenye ligi hiyo hiyo anayoongoza arsenal pamoja na champions League
 
  • Nzuri
Reactions: Tui

Endelea kukaza mishipa ya shingo sasa
 
[emoji2][emoji2] washajiona wako juu zaidi ya wydad..kitakachokuja kuwatokea Niko pale airport kuwapokea.
Hasira za kutobolewa tar 16 hazijaisha tu [emoji23][emoji23][emoji23] kubalini tu mmebongolewa acheni kujificha kwenye kichaka Cha whdad
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Cheka taratibu usije ukajamba mbele ya wanaume[emoji41]
Kama huyu alivyoachia shuzi mbele ya watu zaidi ya 60,000
FB_IMG_1681721272058.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom