Simba kuishitaki Waydad CAF

Nimetafuta sentensi ya Simba kushtaki CAF sijaona.

Acha bangi inakudhuru
 
Makolo walishawahi kupata ushindi wa mezani dhidi ya Tp Mazembe, sasa wamenogewa wanataka kupitia dirishani tena.

Jifunzeni kwa Yanga jinsi ya kushinda away games.
 
Mzee umelewa au vip..Mbona sentensi hazimake sense?
 
Makolo walishawahi kupata ushindi wa mezani dhidi ya Tp Mazembe, sasa wamenogewa wanataka kupitia dirishani tena.

Jifunzeni kwa Yanga jinsi ya kushinda away games.
Tujifunze kwa ma looser utopolo
 
Kosa la polisi hapo, tunajua kwa mujibu wa taratibu za kimichezo siruhusa vyombo vya ulinzi kuingia ktk 3neo linalochezewa lkn kule kwa mashabiki jeshi lina mamlaka ya kuwalong'ota wafanya fujo
 
yani mshaanza kusingizia vitu visivyoeleweka ama kweli mbaazi zikikosa maua husingizia jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…