Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Yaani kabisa mtu na akili zako timamu unapinda mgongo kutunga huu utoto. Yanga kuna wapuuzi wengi sanaInasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam.
Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji mkono toka timu zilizo athiriwa na maamuzi hayo.
Inasemekana jitihada za kutafuta uungwaji mkono toka Yanga pia zinaendelea.
My take: Azam ijipange, kupambana na hawa vibwengo wa kariakoo ni kazi sana.
SawaInasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam.
Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji mkono toka timu zilizo athiriwa na maamuzi hayo.
Inasemekana jitihada za kutafuta uungwaji mkono toka Yanga pia zinaendelea.
My take: Azam ijipange, kupambana na hawa vibwengo wa kariakoo ni kazi sana.
"Yanga kuna wapuuzi wengi sana"Yaani kabisa mtu na akili zako timamu unapinda mgongo kutunga huu utoto. Yanga kuna wapuuzi wengi sana
Tuliwaambia kuhusu kocha Mark kutaka kusepa mkabisha, tukawaambia mzungu anasepa mkabisha, na hili nalo mnabisha.Ww ndo kibwengo maaana vibwengo viongo hivyoo
TRUST ME BRO.Source?
HahahahahaaaMakolo wanaitaka nafasi ya pili mezani baada ya kuona uwanjani hawawezi toboa
Tulia kolo weweFake News zipuuzwe.
Fake News zipuuzweTulia kolo wewe
Unakosa usingizi usiku, badala ya kuwaza Mambo ya maana unakwenda JF kuzua uongo. TFF imehusikaje hapo mpaka ishitakiwe?Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam.
Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji mkono toka timu zilizo athiriwa na maamuzi hayo.
Inasemekana jitihada za kutafuta uungwaji mkono toka Yanga pia zinaendelea.
My take: Azam ijipange, kupambana na hawa vibwengo wa Kariakoo ni kazi sana.
Waulize wanaotaka kuishtakiUnakosa usingizi usiku, badala ya kuwaza Mambo ya maana unakwenda JF kuzua uongo. TFF imehusikaje hapo mpaka ishitakiwe?