Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam.
Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji mkono toka timu zilizo athiriwa na maamuzi hayo.
Inasemekana jitihada za kutafuta uungwaji mkono toka Yanga pia zinaendelea.
My take: Azam ijipange, kupambana na hawa vibwengo wa Kariakoo ni kazi sana.