Tetesi: Simba kuishtaki TFF FIFA

Tetesi: Simba kuishtaki TFF FIFA

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam.

Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji mkono toka timu zilizo athiriwa na maamuzi hayo.

Inasemekana jitihada za kutafuta uungwaji mkono toka Yanga pia zinaendelea.

My take: Azam ijipange, kupambana na hawa vibwengo wa Kariakoo ni kazi sana.
 
My take: Azam ijipange, kupambana na hawa vibwengo wa kariakoo ni kazi sana.
Yaani kabisa mtu na akili zako timamu unapinda mgongo kutunga huu utoto. Yanga kuna wapuuzi wengi sana
 
Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam.

Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji mkono toka timu zilizo athiriwa na maamuzi hayo.

Inasemekana jitihada za kutafuta uungwaji mkono toka Yanga pia zinaendelea.

My take: Azam ijipange, kupambana na hawa vibwengo wa kariakoo ni kazi sana.
Sawa
 
Ww ndo kibwengo maaana vibwengo viongo hivyoo
 
Inasemekana club ya soka ya Simba inaandaa mashtaka dhidi ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, lengo ni kuwasiliaha malalamiko kuhusu mwenendo wa mechi 4 zamwisho za club ya Azam.

Tayari ushahidi wa video umekusanywa, sasa viongozi wawili wa juu wamepewa majukumu ya kutafuta uungwaji mkono toka timu zilizo athiriwa na maamuzi hayo.

Inasemekana jitihada za kutafuta uungwaji mkono toka Yanga pia zinaendelea.

My take: Azam ijipange, kupambana na hawa vibwengo wa Kariakoo ni kazi sana.
Unakosa usingizi usiku, badala ya kuwaza Mambo ya maana unakwenda JF kuzua uongo. TFF imehusikaje hapo mpaka ishitakiwe?
 
Back
Top Bottom