Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Wewe waache wajipe moyo, kwani wajinga ndiyo waliwao
Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya kufa kiume
Pambaneni kutengeneza timu ili mufanye vizuri na nyie ili tuwaandike vizuri pia
View attachment 2629217