Simba Kujificha Kwenye kivuli cha Wydad ni Udhaifu

Simba Kujificha Kwenye kivuli cha Wydad ni Udhaifu

Aina ya wapinzani ambao amekuwa akikutana nao robofainali ni bora kuliko aliokutana nao Yanga robo na nusu. Kwa miaka hiyo simba kakutana na Mazembe wa moto , Orando pirates , kaiza chifes na Wydad . Tukiachana na ushabiki marumo ni dhaifu kwa Pirates , Wydad na kaiza chifes
What are you mean? . Simba huyhuy juzi tu kafungwa na NAMUNGO?. What are you talking about?
 
Ukosefu wa umakini ndiyo umewaponza Mamelody. Hawakuwa na sababu nyingine ya msingi ya kutolewa.
Hata simba ilikosa umakini hasa mechi ya dar hivyo wote ni wale wale tu.
Lakini kwa alicho fanya Waydad ndo kinadhihilisha ukubwa wake, Memrod pamoja na uzuri wake inaonekana bado hawaja kuwa kimbinu bali waacheza kimazoea tu, na hii inaonesha jinsi gani itakavyo kuwa ngumu kumaliza utawala wa vilabu kutoka N.africa kwenye mpila wa Afrika.
 
Mtani usijifiche kwenye kichaka cha makombe nasubili utuambie kuwa memirod ni mbovu kwa sababu ya kutolewa na Waydad kama mlivyo sema kwa simba.
Wydad ni mbovu kwa yanga maana alifungwa na rivers Nigeria lakini yanga akaenda kumfunga rivers kwake.😄😄😄😄😄

Ukibisha Naposti timu nne bora kwa Sasa Africa zilizofuzu fainali 😆😆😆😆😆
 
Unazungumzia ubingwa huu huu wa ligi kuu (2022-2023) wa mezani au mwingine maana kwenye ubingwa huu kuna pointi 12 zenye kutatanisha sana.
Vs Geita
Vs Azam
Vs Azam
Vs Namungo.
Fanya rivyuu kwanza ndo uje kutamba.
Wydad ni mbovu ilifungwa na rivers mwaka huu huu 😄😄😄😄😄😄
 
Orlando na Kaizer wote walikuwa dhaifu ukilinganisha na Simba ila kwa sababu ya dharau na kulizika mkatolewa kama mlivyotolewa na Jwanengy na Udisongo
Yanga haijadharau mpinzani imepambana nyumbani na ugenini
Simba sera yenu ilikuwa "kwa Mkapa hatoki mtu"
Hata Wydad mliyokutana nayo ilipoteana kwa Mkapa na kwao ushindi ulikuwa upande wenu mkashindwa kupambana na kuishia kusema "team kubwa"hao mkatwapokea wachezaji na kuwaambia "hatuwadai"Sasa lawama zenu zote ni kwa Yanga
Lakini mkuu si hata Yanga huku klabu bingwa alikuwepo? Kilichomrudisha shirikisho ni nini? Tuanzie hapo kwanza halafu ndipo tujadili udhaifu wa simba
 
Wydad ni mbovu kwa yanga maana alifungwa na rivers Nigeria lakini yanga akaenda kumfunga rivers kwake.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Ukibisha Naposti timu nne bora kwa Sasa Africa zilizofuzu fainali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hata yanga ni mbovu kwa sababu ilifungwa na Vaipas wakati Simba aliifunga Vaipas nje ndani.
 
Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya kufa kiume
Pambaneni kutengeneza timu ili mufanye vizuri na nyie ili tuwaandike vizuri pia
View attachment 2629217

Ipe Simba heshima yake. Ilitolewa kwa mikwaju ya penati na bingwa wa CAF. Sio Jambo dogo, na aliyemtoa amefidhu fainali.
 
Simba alicheza fainali kombe la caf cup ambalo ni la Tatu kwa ubora viwango vya caf yanga amecheza kombe la shirikisho la pili kwa ubora wa viwango vya caf

Punguza uongo. , Kombe la shirikisho ni muunganiko wa muunganiko wa caf winners cup na Caf Cup.
 
Yanga FC walikuwa wako vibaya kiuchumi ndiyomaana walikuwa wanatembeza bakuli la mchango wa pesa kuendeshea klabu.

Sasa ninyi miaka mitano yote hiyo mlikuwa wapi kuvuka hata nusu fainali CAFCL ilihali klabu yenu ndiyo inaongoza kuweka pesa nyingi za udhamini kwa mwaka hata zaidi ya B 26?

Au zilikuwa B 26 za mchongo?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
hatujawahi kukutana na wapinzani mliokutana nao nyinyi
Wapinzani gani hao Horoya FC wanaopigwa 7-0 na ninyi Makolokolo mliojifia mnasubiri kuzikwa tu kiubora?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
horoya alimtoaa asec aliefika nusu fainali cafcc kwa kumfunga nyumbani kwake, wydad kamtoa mamelodi je wydad ni sawa na marumo shooting? wydad kacheza na madrid klabu bingwa dunia na kapata goal
 
hatujawahi kukutana na wapinzani mliokutana nao nyinyi

horoya alimtoaa asec aliefika nusu fainali cafcc kwa kumfunga nyumbani kwake, wydad kamtoa mamelodi je wydad ni sawa na marumo shooting? wydad kacheza na madrid klabu bingwa dunia na kapata goal
Wydad Casablanca alicheza nini mechi ya awali alipokuwa kwake akiwa na timu yenye upungufu wa wachezaji wawili wote waliotolewa kwa kadi nyekundu?

Hata mechi ya marudiano alicheza mpira gani zaidi ya kutembelea upepo tu wa bahati?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kwa hiyo miaka Yanga hakushiriki mashindano yoyote ya CAF? Na kama timu nyingi zilikuwa dhaifu sababu ya covid 19 Yanga alishindwa nini kuzifunga hizo timu zenye covid? Au Yanga wao walikuwa wa nchi nyingine zenye covid?
Financial problems coz it hadn't have any sponsors like these days.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wydad Casablanca alicheza nini mechi ya awali alipokuwa kwake akiwa na timu yenye upungufu wa wachezaji wawili wote waliotolewa kwa kadi nyekundu?

Hata mechi ya marudiano alicheza mpira gani zaidi ya kutembelea upepo tu wa bahati?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
kwanini hiyo bahati isiwakute marumo waliocheza mpira mzuri na mkawafunga 2 kwa mkapa?
 
kwanini hiyo bahati isiwakute marumo waliocheza mpira mzuri na mkawafunga 2 kwa mkapa?
Bahati si kwa kila timu, mfano mzuri ni;

Arsenal FC imeitangulia Chelsea FC kuasisiwa kwa zaidi ya miaka 20 na ilikuwa miongoni mwa timu ya kwanza kabisa kwa western London teams kutinga fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2006 ila ilifungwa 2-1 dhidi ya Barcelona FC.

Chelsea FC ikatinga fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGU 2012 ikabeba ndoo na 2021 ikabeba tena kwa mara ya pili pamoja na UEFA SUPER CUP na WORLD CLUB CUP.

Angalia timu ya Chelsea FC kiubora kwa Wachezaji wake na wapinzani wake kisha angalia matokeo ya mpira yanavyoshangaza kisha uniambie wapi hujaelewa nini maana ya "BAHATI".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu, sijajua Simba inajificha vipi kwenye kivuli cha Wydad baada ya kumtoa Mamelod. Once you talk something, make sure you have defensive points less otherwise usemacho ni porojo.
You are talking nothing wenzio wanajisifia kuwa timu yeyote inayowatia robo fainali lazima icheze fainali.
 
Back
Top Bottom