Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Mabingwa wanaokalishwa na Namungo na kusuluhu na Azam Fc Kwa mbindeYanga watacheza kombe la MABINGWA msimu ujao CAFCL.
Wamepenya sana Makundi.
KLABU BINGWA ni ya wanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabingwa wanaokalishwa na Namungo na kusuluhu na Azam Fc Kwa mbindeYanga watacheza kombe la MABINGWA msimu ujao CAFCL.
Wamepenya sana Makundi.
KLABU BINGWA ni ya wanaume
What are you mean? . Simba huyhuy juzi tu kafungwa na NAMUNGO?. What are you talking about?Aina ya wapinzani ambao amekuwa akikutana nao robofainali ni bora kuliko aliokutana nao Yanga robo na nusu. Kwa miaka hiyo simba kakutana na Mazembe wa moto , Orando pirates , kaiza chifes na Wydad . Tukiachana na ushabiki marumo ni dhaifu kwa Pirates , Wydad na kaiza chifes
Hata simba ilikosa umakini hasa mechi ya dar hivyo wote ni wale wale tu.Ukosefu wa umakini ndiyo umewaponza Mamelody. Hawakuwa na sababu nyingine ya msingi ya kutolewa.
Wydad ni mbovu kwa yanga maana alifungwa na rivers Nigeria lakini yanga akaenda kumfunga rivers kwake.😄😄😄😄😄Mtani usijifiche kwenye kichaka cha makombe nasubili utuambie kuwa memirod ni mbovu kwa sababu ya kutolewa na Waydad kama mlivyo sema kwa simba.
Wydad ni mbovu ilifungwa na rivers mwaka huu huu 😄😄😄😄😄😄Unazungumzia ubingwa huu huu wa ligi kuu (2022-2023) wa mezani au mwingine maana kwenye ubingwa huu kuna pointi 12 zenye kutatanisha sana.
Vs Geita
Vs Azam
Vs Azam
Vs Namungo.
Fanya rivyuu kwanza ndo uje kutamba.
Lakini mkuu si hata Yanga huku klabu bingwa alikuwepo? Kilichomrudisha shirikisho ni nini? Tuanzie hapo kwanza halafu ndipo tujadili udhaifu wa simbaOrlando na Kaizer wote walikuwa dhaifu ukilinganisha na Simba ila kwa sababu ya dharau na kulizika mkatolewa kama mlivyotolewa na Jwanengy na Udisongo
Yanga haijadharau mpinzani imepambana nyumbani na ugenini
Simba sera yenu ilikuwa "kwa Mkapa hatoki mtu"
Hata Wydad mliyokutana nayo ilipoteana kwa Mkapa na kwao ushindi ulikuwa upande wenu mkashindwa kupambana na kuishia kusema "team kubwa"hao mkatwapokea wachezaji na kuwaambia "hatuwadai"Sasa lawama zenu zote ni kwa Yanga
Hata yanga ni mbovu kwa sababu ilifungwa na Vaipas wakati Simba aliifunga Vaipas nje ndani.Wydad ni mbovu kwa yanga maana alifungwa na rivers Nigeria lakini yanga akaenda kumfunga rivers kwake.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ukibisha Naposti timu nne bora kwa Sasa Africa zilizofuzu fainali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya kufa kiume
Pambaneni kutengeneza timu ili mufanye vizuri na nyie ili tuwaandike vizuri pia
View attachment 2629217
Simba alicheza fainali kombe la caf cup ambalo ni la Tatu kwa ubora viwango vya caf yanga amecheza kombe la shirikisho la pili kwa ubora wa viwango vya caf
hatujawahi kukutana na wapinzani mliokutana nao nyinyiYanga FC walikuwa wako vibaya kiuchumi ndiyomaana walikuwa wanatembeza bakuli la mchango wa pesa kuendeshea klabu.
Sasa ninyi miaka mitano yote hiyo mlikuwa wapi kuvuka hata nusu fainali CAFCL ilihali klabu yenu ndiyo inaongoza kuweka pesa nyingi za udhamini kwa mwaka hata zaidi ya B 26?
Au zilikuwa B 26 za mchongo?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
horoya alimtoaa asec aliefika nusu fainali cafcc kwa kumfunga nyumbani kwake, wydad kamtoa mamelodi je wydad ni sawa na marumo shooting? wydad kacheza na madrid klabu bingwa dunia na kapata goalWapinzani gani hao Horoya FC wanaopigwa 7-0 na ninyi Makolokolo mliojifia mnasubiri kuzikwa tu kiubora?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wydad Casablanca alicheza nini mechi ya awali alipokuwa kwake akiwa na timu yenye upungufu wa wachezaji wawili wote waliotolewa kwa kadi nyekundu?hatujawahi kukutana na wapinzani mliokutana nao nyinyi
horoya alimtoaa asec aliefika nusu fainali cafcc kwa kumfunga nyumbani kwake, wydad kamtoa mamelodi je wydad ni sawa na marumo shooting? wydad kacheza na madrid klabu bingwa dunia na kapata goal
Financial problems coz it hadn't have any sponsors like these days.Kwani kwa hiyo miaka Yanga hakushiriki mashindano yoyote ya CAF? Na kama timu nyingi zilikuwa dhaifu sababu ya covid 19 Yanga alishindwa nini kuzifunga hizo timu zenye covid? Au Yanga wao walikuwa wa nchi nyingine zenye covid?
kwanini hiyo bahati isiwakute marumo waliocheza mpira mzuri na mkawafunga 2 kwa mkapa?Wydad Casablanca alicheza nini mechi ya awali alipokuwa kwake akiwa na timu yenye upungufu wa wachezaji wawili wote waliotolewa kwa kadi nyekundu?
Hata mechi ya marudiano alicheza mpira gani zaidi ya kutembelea upepo tu wa bahati?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Bahati si kwa kila timu, mfano mzuri ni;kwanini hiyo bahati isiwakute marumo waliocheza mpira mzuri na mkawafunga 2 kwa mkapa?
DuuhWydad ni mbovu ilifungwa na rivers mwaka huu huu 😄😄😄😄😄😄
You are talking nothing wenzio wanajisifia kuwa timu yeyote inayowatia robo fainali lazima icheze fainali.Sawa mkuu, sijajua Simba inajificha vipi kwenye kivuli cha Wydad baada ya kumtoa Mamelod. Once you talk something, make sure you have defensive points less otherwise usemacho ni porojo.