Simba kujifunza kwa Yanga sio Dhambi

Simba kujifunza kwa Yanga sio Dhambi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.

32A73B78-84F2-4785-9313-92289F5ACC8E.jpeg
 
Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.

View attachment 2598012
Simba walishawahi kucheza fainali kombe la washindi barani afrika kwanini yanga hakujifunza huko
 
Katika kitu nimewaheshimu yanga walijua wakitumia full energy kwenye match ya watani wanaweza kukosa pumzi ugenini Nigeria. Kwani hata wangefungwa bado watakuwa bingwa wa ligi.

Energy waliosave imewasaidia kuifunga Rivers na sasa watakuja nyumbani kumalizia game wanaingia nusu Finali.

Simba alitumia nguvu nyingi akijua kushinda kwa ndio faraja pekee kwa wanachama na wafuasi wake kwani uwezekano wa kwenda nusu finaly ni mdogo sana hata kamawameshinda nyumbani kwa goal moja.

Kwa yanga imewalipa sana
 
Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.

View attachment 2598012
Sasa hapo kunanini cha kujifunza kwamfano?! Yanga kakutana na vilaza watupu huko shirikisho. Yaani timu iliyofeli Club bingwa unajifunza kwake akati we upo club bingwa! Huoni kama ni busara Yanga kujifunza kwa Simba?!
 
Weekkend sio mbali tutapata majibu nani anaenda nusu fainali na nani anabeba kombe la kuishia robo fainali
 
Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.

View attachment 2598012
Siyo kweli,Simba nao waliinusa kama Yanga maana nao walishinda game ya Kwanza bao 1, bahati tu haikuwa upande wao wakaomdoshwa Kwa Penati pale Orlando city stadium..
 
Weekenda sio mbali tutapata majibu nani anaenda nusu fainali na nani anabeba kombe la kuishia robo fainali
Tuseme Simba anaishia hapo, yanga anakwenda nusu fainali au hata fainali au hata anachukua kombe la shirikisho. Kunanini cha kujifunza hapo? Yaan unamfunga Rivers unatembea kifua mbele oooh, simba ajifunze. Dunia inamaajabu sana.
 
Sasa hapo kunanini cha kujifunza kwamfano?! Yanga kakutana na vilaza watupu huko shirikisho. Yaani timu iliyofeli Club bingwa unajifunza kwake akati we upo club bingwa! Huoni kama ni busara Yanga kujifunza kwa Simba?!
Kufeli kwenda shirikisho haimaanishi kuwa ni mbovu, Barcelona hayupo UEFACL wala UEROPA Ila anaongoza league na yupo top 5 ya team Bora duniani
 
Sio vibaya pia wakiomba Mayele awafundishe jinsi ya kushinda ugenini
 
Back
Top Bottom