Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Simba ijifunze kwa Yanga iliyoshindwa Ligi ya mabingwa na kuangukia kombe la vibonde yaani Simba ajifunze jinsi ya kushindwa?Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
View attachment 2598012
Swali murua kabisaMara ya mwisho mnacheza makundi ya Cafcl ilikuwa ni mwaka gani ?