Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Simba walishawahi kucheza fainali kombe la washindi barani afrika kwanini yanga hakujifunza hukoKulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
View attachment 2598012
Haya mambo ya 'aliwahi kucheza' sidhani kama yana mashiko kwenye huu uzi.Simba walishawahi kucheza fainali kombe la washindi barani afrika kwanini yanga hakujifunza huko
Na Mbumbumbu walivyokuwa vituko walifurahia kucheza fainali wala si kubeba kombe, si akili za Arsepimbi kabisa hizi? [emoji2]Simba walishawahi kucheza fainali kombe la washindi barani afrika kwanini yanga hakujifunza huko
Halikuwa kombe la washindi, lilikuwa kombe la Abiola likaja futwa na kuunganishwa kwa la washindi kuwa hili la shirikisho.Simba walishawahi kucheza fainali kombe la washindi barani afrika kwanini yanga hakujifunza huko
Kombe la washindi lilishafutwa hakuna la kujifunza tena labda historia tu.Simba walishawahi kucheza fainali kombe la washindi barani afrika kwanini yanga hakujifunza huko
AahaaaaaaaaHalikuwa kombe la washindi, lilikuwa kombe la Abiola likaja futwa na kuunganishwa kwa la washindi kuwa hili la shirikisho.
Hawatumii akili, wanaongozwa na hisia.Aahaaaaaaaa
Hii pointi Wana Simba wengi wanaikwepa
Sasa hapo kunanini cha kujifunza kwamfano?! Yanga kakutana na vilaza watupu huko shirikisho. Yaani timu iliyofeli Club bingwa unajifunza kwake akati we upo club bingwa! Huoni kama ni busara Yanga kujifunza kwa Simba?!Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
View attachment 2598012
Weekkend sio mbali tutapata majibu nani anaenda nusu fainali na nani anabeba kombe la kuishia robo fainaliSasa hapo kunanini cha kujifunza kwamfano?! Yanga kakutana na vilaza watupu huko shirikisho. Yaani timu iliyofeli Club bingwa unajifunza kwake akati we upo club bingwa! Huoni kama ni busara Yanga kujifunza kwa Simba?!
Siyo kweli,Simba nao waliinusa kama Yanga maana nao walishinda game ya Kwanza bao 1, bahati tu haikuwa upande wao wakaomdoshwa Kwa Penati pale Orlando city stadium..Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
View attachment 2598012
Tuseme Simba anaishia hapo, yanga anakwenda nusu fainali au hata fainali au hata anachukua kombe la shirikisho. Kunanini cha kujifunza hapo? Yaan unamfunga Rivers unatembea kifua mbele oooh, simba ajifunze. Dunia inamaajabu sana.Weekenda sio mbali tutapata majibu nani anaenda nusu fainali na nani anabeba kombe la kuishia robo fainali
Kufeli kwenda shirikisho haimaanishi kuwa ni mbovu, Barcelona hayupo UEFACL wala UEROPA Ila anaongoza league na yupo top 5 ya team Bora dunianiSasa hapo kunanini cha kujifunza kwamfano?! Yanga kakutana na vilaza watupu huko shirikisho. Yaani timu iliyofeli Club bingwa unajifunza kwake akati we upo club bingwa! Huoni kama ni busara Yanga kujifunza kwa Simba?!
Mbumbumbu fc wana maajabu ya kipekee, kushangilia matumizi ya VAR kuliniacha hoi.Na Mbumbumbu walivyokuwa vituko walifurahia kucheza fainali wala si kubeba kombe, si akili za Arsepimbi kabisa hizi? [emoji2]