Simba kukabidhiwa kombe leo la tatu mfululizo 2020/2021. Namungo FC uwezekano wa kushinda leo ni mkubwa

Simba kukabidhiwa kombe leo la tatu mfululizo 2020/2021. Namungo FC uwezekano wa kushinda leo ni mkubwa

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Hongera Simba SC kwa kuchukua kombe la Ligi Kuu Tanzanian bara.

Katika kumbukumbu Simba iliwai kupoteza mechi siku ya kukabidhiwa kombe la Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kama sikosei uwanja wa Taifa na ilifungwa 1-0.

Kwa kiwango kilichooneshwa na Namungo FC msimu huu na rekodi mzuri katika uwanja wa nyumbani na motisha ya siku yaleo sioni Simba SC ikishinda hii leo kwa wamwela wa Liwale.

Simba SC itaingia kwa kujiamini na ku relax kwa sababu hana cha kupoteza wakati Namungo ataingia kuweka heshima kumfunga bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.

Simba SC akili ipo kwenye wa kombe la shirikisho.
 
Screenshot_20200708-095453_WhatsApp.jpg
 
Big match itakosa mvuto sababu simba anaweza pumzisha key playery wake
 
Nawaombea sana Namungo washinde hii mechi, wakati watani wanatafakari kufika nafasi ya nne tayari itakua imefika jumapili.
 
japo migambo mingi kuliko wajeda lakini ushindi lazima
 
Mungu ijalie Namungo fc ipate ushindi mwepesi.

Ewe muumba mbingu na nchi walegeze viungo wachezaji wa Yanga walegee washindwe kupata matokeo mazuri mpaka mwishoni mwa ligi.
 
Tupo pamoja namungo ktk kuhakikisha tunamaliza nafasi ya tatu
 
Hakuna anayependa kufungwa,tunajua mikia mmejiandaa kisaikolojia kwa kipigo cha leo na jumapili
 
hawa simba wana nia ya kushnda kweli au bora liende?
 
Mungu ijalie Namungo fc ipate ushindi mwepesi.

Ewe muumba mbingu na nchi walegeze viungo wachezaji wa Yanga walegee washindwe kupata matokeo mazuri mpaka mwishoni mwa ligi.
Wameshalegezwa kitambo tu si unaona walivyobong'oa
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Back
Top Bottom