Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
Hongera Simba SC kwa kuchukua kombe la Ligi Kuu Tanzanian bara.
Katika kumbukumbu Simba iliwai kupoteza mechi siku ya kukabidhiwa kombe la Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kama sikosei uwanja wa Taifa na ilifungwa 1-0.
Kwa kiwango kilichooneshwa na Namungo FC msimu huu na rekodi mzuri katika uwanja wa nyumbani na motisha ya siku yaleo sioni Simba SC ikishinda hii leo kwa wamwela wa Liwale.
Simba SC itaingia kwa kujiamini na ku relax kwa sababu hana cha kupoteza wakati Namungo ataingia kuweka heshima kumfunga bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Simba SC akili ipo kwenye wa kombe la shirikisho.