APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
na bado hata ya ushinsdi wa pili hawatavaa tenaHakuna anaetaka vaa medali ya mshindi wa pili michezoni
Ndugai MnazarethKwani mgeni rasmi alikuwa Nani?
Hakika komredi...Ingekuwa ni Yanga imefanya hivyo,leo hii kamati ya TFF ingekaa na kuipiga fine.
Hii kitu nasema ukwel, richa ya unazi wangu kwa simba lakn viongozi walizingua sana. Ni mambo ya kishamba. Tukubali kushindwa ili tujue mapungufu ya kukarabat kwenye champions league. Sasa kiongoz anazira kwenda kuvaa medari anamaanisha nnmpira ni mchezo wa ungwana,simba iliposhinda kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili,hii inaonyesha simba sio hawajui fair play,wanataka wao tu wawe wanashinda,wamesahau kuwa ni zama za return of champion.
View attachment 1954388
Karia mwenyewe alinunaIngekuwa ni Yanga imefanya hivyo,leo hii kamati ya TFF ingekaa na kuipiga fine.
Umesema yanga,, yanga siyo simba.Ingekuwa ni Yanga imefanya hivyo,leo hii kamati ya TFF ingekaa na kuipiga fine.
Fea plei tuHakuna anaetaka vaa medali ya mshindi wa pili michezoni
πππ Nilikua nimekaa pembeni yake, ilibakia kidogo tu nimlapue kibao!! Maana alijigeuza kuwa Thierry Hitimana!! Yule kocha aliyechukuliwa kwa lengo la kuficha ungumbalu wa makocha wao πππKaria mwenyewe alinuna
Jidanganyena bado hata ya ushinsdi wa pili hawatavaa tena
Simba walitaka wavalishwe medali na ndungai.Kwani mgeni rasmi alikuwa Nani?
Watozwe fainimpira ni mchezo wa ungwana,simba iliposhinda kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili,hii inaonyesha simba sio hawajui fair play,wanataka wao tu wawe wanashinda,wamesahau kuwa ni zama za return of champion.
View attachment 1954388
ndiyo maana tff ni ya mooIngekuwa ni Yanga imefanya hivyo,leo hii kamati ya TFF ingekaa na kuipiga fine.