Simba kukipiga na El-Qanah ya Misri, Mechi ya kwanza kirafiki hapo kesho 22.07.2024

Sio mbaya, Ila mechi ya pili wakipige japo na Pyramid
 
M
Kocha kasema hii ni match ya pili, match ya kwanza mmecheza indoor mkapigwa 6-2 tena match ilichezwa dakika 60 tuu.
Mkuu bila shaka unamanisha internal. Kuna tofauti kati ya internal na indoor.

Internal match alimanisha Simba wao kwa wao wameshacheza.
Yaani kunakuwa na vikosi viwili ndani ya Timu moja kisha wanacheza.
 

Kumbe Simba kapiga 6 hata hamsemi
 
Nafikiri hii ni mechi ya pili , ya kwanza ni ile Simba ilikandwa 6-2 na timu ya ndondo kule Egypt.
Pre-season ikiisha mbumbumbu FC inaweza kurudi tz na kapu la magoli ya kufungwa , kama sio 50 basi 70!
Simba hii inatia huruma, nasi uto tunafurahi Mangungo bado yupo sana kolokoloni!!
 
Faraja pekee iliyobaki kwa JOBLESS GRADUATES ni ushabiki wa Simba na Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…