Simba kukipiga na El-Qanah ya Misri, Mechi ya kwanza kirafiki hapo kesho 22.07.2024

Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo.

Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao itakipiga na El-Qanah ya Misri ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki katika mandalizi ya Msimu ujao.

Mechi hii itapigwa katika dimba la Old-Suez Canal kuanzia majira ya saa 11:30 jioni.

Kwa habari hii, tafadhali puuzeni habari za uzushi kuwa Simba SC imeshacheza mechi ya kirafiki kisirisiri na kuambulia kipigo cha 6 -2. Habari hizo si kweli na watoa habari walikuwa na lengo la kutengeneza Propaganda kwa maslahi wanayojua wao..🤣😂
Tunajua ile ya 6-2 ndo ya kwanza.
 
Mbona Kocha wa Simba amesema wamecheza mechi 1 ya dk 45.
 
Back
Top Bottom