Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
zimeuzwa tkt 600 tu hata km wewe ndo ungekuwa ahmed ally kispika ungetangaza kweli!!!Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu!!!
Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post yoyote juu ya mauzo ya ticket!!!
Na lugha ya mwili ya msemaji wao Ahmed Aly inaonyesha Hali sio nzuri na wamepigwa za uso kwenye mauzo ya ticket, inaonekana mashabiki wamesusia bado wanayo homa ya kipigo Cha Kono la nyani wakiweka na kutopata kocha kwa wakati ndio kabisa matumaini yanazama mazimaaaa!!!!
Kono la nyani si mchezo.Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu!!!
Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post yoyote juu ya mauzo ya ticket!!!
Na lugha ya mwili ya msemaji wao Ahmed Aly inaonyesha Hali sio nzuri na wamepigwa za uso kwenye mauzo ya ticket, inaonekana mashabiki wamesusia bado wanayo homa ya kipigo Cha Kono la nyani wakiweka na kutopata kocha kwa wakati ndio kabisa matumaini yanazama mazimaaaa!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣Kono la nyani si mchezo.
Wamewaachia machawa wa viongozi kina kisugu ndio wakaujaze uwanjaNahisi kuna mgomo wa chini kwa chini
Sio vibaya wakituwekea muelekeo wa mauzo ya ticket ili tujue tumebakisha kiasi Gani kuujaza uwanja maana Bei ya ticket imeshushwa mpaka buku 3 lakini mambo bado magumu!Nyuma ya huu tunaouita "utani wa jadi" zimejificha roho za chuki, wivu, husda na roho mbaya.
Tiketi zinaendelea kuisha wewe chelewa tuSio vibaya wakituwekea muelekeo wa mauzo ya ticket ili tujue tumebakisha kiasi Gani kuujaza uwanja maana Bei ya ticket imeshushwa mpaka buku 3 lakini mambo bado magumu!
Tangu lini umeanza kudai hizo mambo?Sio vibaya wakituwekea muelekeo wa mauzo ya ticket ili tujue tumebakisha kiasi Gani kuujaza uwanja maana Bei ya ticket imeshushwa mpaka buku 3 lakini mambo bado magumu!
Kwa sauti ya bugati "susenii kudadadeki"Etii Wamesusaa!!Na Acha Wasuse
Boss hatususii timu yetu .Kwa sauti ya bugati "susenii kudadadeki"
Mama atazinunua kuokoa jahazi.Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu!!!
Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post yoyote juu ya mauzo ya ticket!!!
Na lugha ya mwili ya msemaji wao Ahmed Aly inaonyesha Hali sio nzuri na wamepigwa za uso kwenye mauzo ya ticket, inaonekana mashabiki wamesusia bado wanayo homa ya kipigo Cha Kono la nyani wakiweka na kutopata kocha kwa wakati ndio kabisa matumaini yanazama mazimaaaa!!!!
Endelea kuteseka wewe chura...Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post yoyote juu ya mauzo ya ticket.