Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

Hamna hata huruma ndugu zetu...
IMG_7727.jpg
 
Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu.

Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post yoyote juu ya mauzo ya ticket.

Na lugha ya mwili ya msemaji wao Ahmed Aly inaonyesha Hali sio nzuri na wamepigwa za uso kwenye mauzo ya ticket, inaonekana mashabiki wamesusia bado wanayo homa ya kipigo Cha Kono la nyani wakiweka na kutopata kocha kwa wakati ndio kabisa matumaini yanazama mazimaaaa.
Tulikuwa bize kuandaa haya mabango
images%20(6)%20(14)-picsay-01.jpg

View attachment 2824304
 
Back
Top Bottom