Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sema hizo 5 zimawatoa kabisa simba kwenye reli, yani mmepoteana balaaBoss hatususii timu yetu .
Simba ni dude kubwa Sana ndomana waliobahatisha kutufunga magoli 5 wanafanya sherehe mwaka mzima
Kweli mkuu inahtajika nguvu kubwa Sana kukaa sawaSema hizo 5 zimawatoa kabisa simba kwenye reli, yani mmepoteana balaa
Wacha weee dude kubwaa sio 🤣🤣Kweli mkuu inahtajika nguvu kubwa Sana kukaa sawa
Hamna hata huruma ndugu zetu...Wacha weee dude kubwaa sio [emoji1787][emoji1787]
Hamna hata huruma ndugu zetu...
Mmetuzoesha kwaiyo na Sasa tunazitaka mzitoeTangu lini umeanza kudai hizo mambo?
Kuwa makini usije ukawa unalea hizo roho nilizotaja hapo juu. Ni ushauri tuMmetuzoesha kwaiyo na Sasa tunazitaka mzitoe
Tulikuwa bize kuandaa haya mabangoTumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu.
Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post yoyote juu ya mauzo ya ticket.
Na lugha ya mwili ya msemaji wao Ahmed Aly inaonyesha Hali sio nzuri na wamepigwa za uso kwenye mauzo ya ticket, inaonekana mashabiki wamesusia bado wanayo homa ya kipigo Cha Kono la nyani wakiweka na kutopata kocha kwa wakati ndio kabisa matumaini yanazama mazimaaaa.