Hii mechi hata wenyewe wanakubali ilifikia wakati walikuwa wanaombea mpira uishe.Uchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al ahly
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa
NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
Msitupangie Simba,mgekuwa bora hiyo nafasi ndo ungekuwa yenuUchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al ahly
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa
NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
kwan walikuambia wanashida ya kutoboa?Simba hawatoboi
πΏ Umewapiga kwenye mshono!Labda walete tena picha ya Manzoki πππ