Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga

Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga

Uchambuzi

Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al ahly

Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao

Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa
Simba si ameifunga Yanga juzi? Halafu CAF nao wachonganishi. Sasa mbona kila kitu wanaipa Simba tu?
 
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
1693974623440.png
 
Game naipa Hamsini Hamsini Simba anaweza pita au asipite, Ligi yetu imekua sana mara zote Simba wa Kimataifa hua wanakiwasha , acha vioja bwana mdogo facken kabisa.
Najua unaongea huku unatetemeka
 
Yanga hii ambayo haijawahi kuingia hatua ya makundi kwenye caf champions league kwa miaka 25!!, huoni hata aibu!! Yanga hii ambayo ina hadhi ya kuanzia mchangani kwenye mashindano ya caf champions league!! Yanga hii ambayo haijui hata kupiga penati!! Au unazungumzia yanga ipi? Lakini hii ya jangwani ni maumivu matupu!!
Kwa kikosi hiki...... Tukutane fainali
 
Back
Top Bottom