chariti
JF-Expert Member
- Aug 18, 2023
- 362
- 748
acha ushabiki kahawa nani asha mfunga al ahly east afrika hii na kati? we mtaje kama una ujeuriNajua unaongea huku unatetemeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha ushabiki kahawa nani asha mfunga al ahly east afrika hii na kati? we mtaje kama una ujeuriNajua unaongea huku unatetemeka
Mjinga sana......Ujinga ni sawa na kisogo huwezi kujijua, ni kipaji!
We ni mjinga brooh[emoji1374]
Jiulize yanga kacheza na ahly mara ngapi ukipata jibu ,jiulize kwanini ?utachezaje na ahly mara ya mwisho kuingia makundi 1998Uchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al ahly
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa
NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
1998 ulikuwa na miaka mingapi?viongozi wako wanaposema Lengo kufika makundi unajua wanamaanisha Nini 2023-1998 mtoto kaanza shule kamaliza chuo Tena udaktari ,kuwa makini na vitu vidogo .Tukutane fainali CAF champions league
UKWELI USEMWEUjinga ni sawa na kisogo huwezi kujijua, ni kipaji!
We ni mjinga brooh[emoji1374]
UKWELI USEMWEUjinga wa kurithi wakati unazaliwa ni mbaya sana
MBUMBUMBU hampendi kuambiwa ukweli....MNA TIMU BOVUAliewaita utopolo MAJIBWA AJENGEWE SANAMU PALE KAUNDA.
Time will tell..!!Ujinga ni sawa na kisogo huwezi kujijua, ni kipaji!
We ni mjinga brooh[emoji1374]
Yanga hawashikiki mkono. Simba imeishika kupeleka timu nne, lakini imekuwa inatolewa raundi za awaliRekebisha hapo ...Yanga hawashikiki
Umesikia lengo la klabu yako lililotolewa na viongozi wako? Hersi na Kamwe wametamka hadharani studio kuwa lengo la Yanga ni kufikia hatua ya makundi ya CAF CLYanga ndio kawapeleka wote....sema Azam kazingua mapema......anaefuata ni kolo
Hivi mumeshasahau kuwa Mwarabu anawasubiri hapo Kigali kutwa kuijadili Simba tu.Uchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al ahly
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa
NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
walikuambia wanashida ya kupita?Hawawezi kupita Kwa Al ahly