Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko wazi ...,....pale Simba at least kidgo ntibazokiza ndiye anacheza Kwa kujituma .....na inonga ....ila the rest wanacheza kifazaUmeongea kishabiki Sana ,lakini bado unahoja Simba kiukweli haijakaa vizuri lakini mpira ni dk 90
Ndo ujiulizeZamalek wapo vzr.....mbna hawapo kwenye hiyo michuano
Ushindi wa MatutaInaonekana Simba kupata nafasi ya kucheza hiyo michuano inawauma Sana, hii sijui itakuwa thread ya ngapi kuanzisha kuhusu Simba na hii michuano.
Hicho kikosi unachokisifia kilifungwa na Simba 2-0 na baadae kufungiwa kwenye ngao ya jamii.
Pia msisahau msimu uliopita mlikuwa pamoja na Simba kwenye hatua ya awali ya michuano mikubwa Africa Ila mkaangukia kwenye loser cup.
Finali ya kombe la looser sio?Hapana mkuu...
Yanga iliyofika fainali
Simba alipita Kwa kikutana na timu mbovuNaona uto mmejikusanya kwenye huu uzi kuforce furaha kutamani mambo ambayo mmeyashindwa
How come simba awe na kikosi cha yanga kucheza na al ahly wakati kikosi hicho cha yanga kilimshindwa al hilal? Nonsense!
Kibu nae aliewadungua anacheza kifaza..Iko wazi ...,....pale Simba at least kidgo ntibazokiza ndiye anacheza Kwa kujituma .....na inonga ....ila the rest wanacheza kifaza
Hongereni kwa kushinda shughuli.Nadhani uliiona shughuli yake
Sasa mbona hukumfunga Simba na kikosi chako?Uchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al ahly
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa
NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
Nimelimisi sana hili pira siku na ifike tufurahi watakavyobomolewa bila huruma na mkubwa mwenzao.Ngoja hiyo siku tulishudie pira papatu papatu kwa mara nyingine tena.
Ushindi ni ushindi haijalishi umeupataje.Ushindi wa Matuta
Yanga hii ambayo haijawahi kuingia hatua ya makundi kwenye caf champions league kwa miaka 25!!, huoni hata aibu!! Yanga hii ambayo ina hadhi ya kuanzia mchangani kwenye mashindano ya caf champions league!! Yanga hii ambayo haijui hata kupiga penati!! Au unazungumzia yanga ipi? Lakini hii ya jangwani ni maumivu matupu!!Uchambuzi