CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
TAHIRAA OG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba si ameifunga Yanga juzi? Halafu CAF nao wachonganishi. Sasa mbona kila kitu wanaipa Simba tu?Uchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al ahly
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa
Yanga hawashiriki 😁Simba hawatoboi
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao
bado hujajibu swali nimekuuliza walikumbia kuwa wanashida ya kutoboa?Kutoboa § =kusonga mbele
Kwa kikosi hiki...... Tukutane fainaliYanga hii ambayo haijawahi kuingia hatua ya makundi kwenye caf champions league kwa miaka 25!!, huoni hata aibu!! Yanga hii ambayo ina hadhi ya kuanzia mchangani kwenye mashindano ya caf champions league!! Yanga hii ambayo haijui hata kupiga penati!! Au unazungumzia yanga ipi? Lakini hii ya jangwani ni maumivu matupu!!