Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili.
Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la kimataifa kwa ajili ya maandalizi ya michuano mikubwa Super Cup.
Kutokana na Quality ya NBC Simba imeona Ally Salim anatosha zaidi kusimama langoni kwenye mechi za ligi kuu.
Hivyo huyu anayetambulishwa saa 7:00 ni maalumu kwa ajili ya mechi zile kubwa za kimataifa.
**********
Updates
BREAKING NEWS 🔴🦁
Ayoub Lakred Goal keeper mpya Simba sports ni raia wa Morocco