Simba kumtambulisha golikipa Ayoub Lakred leo Agosti 13, 2023

Simba kumtambulisha golikipa Ayoub Lakred leo Agosti 13, 2023

Kimataifa watakua 13..
Banda anatolewa kwa mkopo timu gani?
Banda tutajua la kufanya.

Ila tunaahidi hatuwezi kufanya uhuni mliomfanyia Kambole kumuweka mwali kambini
 
Huyu hatujamsajili kwa ajili ya NBC.

Level ya NBC ni level ya Ally Salim

Huyu kipa wa leo ana mechi chache za kimataifa baada ya hapo atakuwa anasimama kama kocha kutoa maelekezo kwa kina Ally Salim
Kocha mchezaji mwenye miaka 28? Semen8 tu mmefanya ubabaishaji kwenye usajili mpaka dirisha limefungwa
 
Kocha mchezaji mwenye miaka 28? Semen8 tu mmefanya ubabaishaji kwenye usajili mpaka dirisha limefungwa
Dirisha gani lililofungwa?

Dirisha limefungwa kwa ajili ya timu ndogo sio kwa Simba

Afu unabeza miaka 28 akikusikia Skudu utajitetea vipi?
 
Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili.

Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la kimataifa kwa ajili ya maandalizi ya michuano mikubwa Super Cup.

Kutokana na Quality ya NBC Simba imeona Ally Salim anatosha zaidi kusimama langoni kwenye mechi za ligi kuu.

Hivyo huyu anayetambulishwa saa 7:00 ni maalumu kwa ajili ya mechi zile kubwa za kimataifa.


**********


Updates

BREAKING NEWS 🔴🦁

Ayoub Lakred Goal keeper mpya Simba sports ni raia wa Morocco
View attachment 2715299
Duh!...atadaka jumapili ?
 
حارس مرمى سيمبا الجديد أيوب لاكريد هو ملكية سيمبا من فار الرباط ، المغرب
🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁
simbasctanzania-20230812-0001.jpg
 
Kipa gani?

Unamzungumzia yule Mbrazili ambaye ni majeruhi?

Huyu wa leo akiwa mazoezini kocha huwa hatumii mipira kum train.

Anatumia mbegu za ubuyu na zote anadaka
Hapo hamna kipa, nilijua anadaka hadi mbegu za choroko kumbe ni mbegu za ubuyu.
 
Back
Top Bottom