Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Huyu anapita Karume anakuta dirisha za TFF zimefungwa akajua ndio usajili umefungwa
Kule wenye akili ni wawili tu, hatujajulishwa kama walishaongezeka. Na huyo anayekusumbua hayumo miongoni mwa hao wawili.97+44 unapata 112?
Nyie Gongowazi hizi ni hesabu za wapi?
Mwamedi katoa hiyo 3b kwa mchezaji mmoja?Ni 3b siyo 30b
Ila balaa lake Skudu cost yake ni TSH 5b!Skudu sokoni ni efu 75,000
Na ukiwa muongeaji inashuka
Kabla ya kusema Skudu alikanyagwa kaangalie stats zake.Ila balaa lake Skudu cost yake ni TSH 5b!
Azam hawakukubali kabisa Skudu acheze, yule mjinga alimkanyaga Skudu kwenye kisigino , ukweli nililaani sana, ndo maana wachezaji wa kibongo hawaendi nje!! Akili zao rafu tu!
Kesho mbumbumbu fc maji mtaita mma! Skudu lazima afanye balaa kubwa!!
Naona umepaniki mpaka umeshindwa kuelewa97+44 unapata 112?
Nyie Gongowazi hizi ni hesabu za wapi?
Umeambiwa kafungwa goli 97, hujaambiwa kila mechi aliofungwa kafungwa goli moja. mjukuu wa RAGE umeelewa?97+44 unapata 112?
Nyie Gongowazi hizi ni hesabu za wapi?
Hapa walikuwa wanacheza kiungo uongoTupate marejeoView attachment 2715429
Haya matusi mwisho kesho saa 3:00 usiku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila Makolo akili zenu ni chache mno
Naifanyia lamination hii comment. Itanifaa baadae!Kipa gani?
Unamzungumzia yule Mbrazili ambaye ni majeruhi?
Huyu wa leo akiwa mazoezini kocha huwa hatumii mipira kum train.
Anatumia mbegu za ubuyu na zote anadaka