Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka nchi gani?

836B2A07-E85A-4D66-AA1C-3809CFA5D4EF.jpeg
 
Hata hivo ni mzungu walisema makocha wa hapa Africa waliyoleta CV zao hawajaona mwenye vigezo wanayotaka
CV ya ndiaye ni kubwa kuliko klabu ya simba, ana uzoefu wa ligi za Africa na CAF champions league & CAF confederation CUP....... Soka la Africa linahitaji wanaolijua.... We unadhani Al Ahly kumchukua Pitso Mosimane walikua hawawaoni wazungu[emoji16]
 
Back
Top Bottom