Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wale wenye vyeti hawajaleta makombe. Vina maana gami hivyo vyeti🤣🤣🤣🤣🚮🚮🚮Vyeti vimetimia kweli? Maana hamchelewi kuchukua Ngumbalu. Halafu baadae anaishia tu kukaa jukwaani wakati wa mechi za kimataifa.
Hata hivo ni mzungu walisema makocha wa hapa Africa waliyoleta CV zao hawajaona mwenye vigezo wanayotakaKocha huenda akawa mzungu...[emoji23][emoji23][emoji23].
Manara aliwahi kusema Utopoloni kuna watu wawili tu wenye akili akamtaja Jkikwete na baba yake Mzee Manara pekee ndiyo wenye akili. Hakukosea! Usininunie. 😂Vyeti vimetimia kweli? Maana hamchelewi kuchukua Ngumbalu. Halafu baadae anaishia tu kukaa jukwaani wakati wa mechi za kimataifa.
CV ya ndiaye ni kubwa kuliko klabu ya simba, ana uzoefu wa ligi za Africa na CAF champions league & CAF confederation CUP....... Soka la Africa linahitaji wanaolijua.... We unadhani Al Ahly kumchukua Pitso Mosimane walikua hawawaoni wazungu[emoji16]Hata hivo ni mzungu walisema makocha wa hapa Africa waliyoleta CV zao hawajaona mwenye vigezo wanayotaka