Huyu ni backup ya Chama, unakumbuka kile kipindi Chama afungiwe mechi tatu uliona gape lake?Huyu hata yanga walikili kuwa wamemuacha sio kwamba kiwango kilikuwa kidogo jamaa yupo vema ila ni short term plan,atasaidia katika mechi za msimu huu,
Faida...
Amezoea mazingira ya ligi yetu
Uzoefu wa mechi za kimataifa
Moja ya sharti lililo kataliwa na Yanga Kwa Saidoo ni kupewa miaka miwili na ata Simba kwenye dirisha kubwa walishindwana Kwa ilo ila Kwasasa Simba Bajeti imegoma imewabidi warudi na kukubaliana na masharti ya Saidoo.Lipo wazi
Hii timu kuanzia sasa, itambulike tu kama Simba Veteran!! 😃😃Vikongwe vinazidi kuongezeka kwenye timu yetu, Nyoni, Bocco, Onyango, Kapombe na sasa Saidoo
Kitu kingine mkuu unatakiwa ukijue kwenye ishu ya kutambulisha wachezaji waliosajiliwaMkuu nina wasiwasi kama atatosha. Mchezaji wa nje anatakiwa kuzidi kiwango cha anaowakuta, yaani akampige mtu bench. Sio kubahatisha. Tunarudia makosa ya Victor Akpan na bahati mbaya ya Okwa na Qattara. Nidhamu yake pina ni ya mashaka. Umri Jeeee?
Kama shida ni bajeti hapo sawa. Yote ya yote ni mchezaji wangu, namtakia kheri akaendelee alipoishia na goli 4 na assist 6
Naskia nyani katema bungo huko
MashaibuVikongwe vinazidi kuongezeka kwenye timu yetu, Nyoni, Bocco, Onyango, Kapombe na sasa Saidoo
Usimsahau ChamaVikongwe vinazidi kuongezeka kwenye timu yetu, Nyoni, Bocco, Onyango, Kapombe na sasa Saidoo
Hata kama, ila mbadala wake hawezi kuwa babu kama Saidoo Ntibazonkiza.
Upo sahihi mkuuKitu kingine mkuu unatakiwa ukijue kwenye ishu ya kutambulisha wachezaji waliosajiliwa
Ni kuwa mchezaji yule ambaye ni hatari sana ambaye atateka attention kubwa ya watu, huwa hawekwi wakwanza kwenye kutambulishwa
Saido ana mabao 4 na kuna mechi nyingi hajacheza plus na timu yake ambayo haina wachezaji wenye Quality kubwa huoni huo ni uwezo binafsi wa mchezaji?
Sasa kama Saido tu na ubora wake huo bado amekuwa wakwanza kutambulishwa maana yake huko kuna visiki vinakuja ambavyo ni talk of town
Hata mpira hupita tobo mkuu kwani miguu huwa haiuoni.Tulia kwanza kisha andika vizuri
Kati ya hao nani ana mzidi umri Messi?Timu ina wazee kama wote
Boko
Nyoni
Mzamiru
Mkude
Onyango
Kapombe
Tshabalala
Na sasa Saido
Halafu mkipoteza ubingwa oooh Wananchi wanatoa bahasha.
Suala la bahasha halihusiani na Ubingwa. Kama mnachukua ubingwa mchukue kihalali. Ubingwa sio mali rasmi ya Simba au Yanga. Hata Ihefu wanaweza kuchukuaTimu ina wazee kama wote
Boko
Nyoni
Mzamiru
Mkude
Onyango
Kapombe
Tshabalala
Na sasa Saido
Halafu mkipoteza ubingwa oooh Wananchi wanatoa bahasha.
Morrison kashindikanaNidhamu yake ni mbovu kumzidi Morrison?