Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huyu ni backup ya Chama, unakumbuka kile kipindi Chama afungiwe mechi tatu uliona gape lake?Huyu hata yanga walikili kuwa wamemuacha sio kwamba kiwango kilikuwa kidogo jamaa yupo vema ila ni short term plan,atasaidia katika mechi za msimu huu,
Faida...
Amezoea mazingira ya ligi yetu
Uzoefu wa mechi za kimataifa
Basi wengi walilaumu kwanini timu haina mbadala wa Chama na ndio hapo walipoanza kuangalia backup ya kuja nayo kwenye dirisha dogo