Simba kumtambulisha rasmi mchezaji wa kwanza saa saba mchana

Simba kumtambulisha rasmi mchezaji wa kwanza saa saba mchana

Huyu hata yanga walikili kuwa wamemuacha sio kwamba kiwango kilikuwa kidogo jamaa yupo vema ila ni short term plan,atasaidia katika mechi za msimu huu,

Faida...

Amezoea mazingira ya ligi yetu
Uzoefu wa mechi za kimataifa
Huyu ni backup ya Chama, unakumbuka kile kipindi Chama afungiwe mechi tatu uliona gape lake?

Basi wengi walilaumu kwanini timu haina mbadala wa Chama na ndio hapo walipoanza kuangalia backup ya kuja nayo kwenye dirisha dogo
 
Muda si mrefu hii timu itatambulika kama Simba Veteran!! [emoji2][emoji2]
Sawa mkuu
Screenshot_20221224-131802.jpg
 
Mkuu nina wasiwasi kama atatosha. Mchezaji wa nje anatakiwa kuzidi kiwango cha anaowakuta, yaani akampige mtu bench. Sio kubahatisha. Tunarudia makosa ya Victor Akpan na bahati mbaya ya Okwa na Qattara. Nidhamu yake pina ni ya mashaka. Umri Jeeee?
Kama shida ni bajeti hapo sawa. Yote ya yote ni mchezaji wangu, namtakia kheri akaendelee alipoishia na goli 4 na assist 6
Kitu kingine mkuu unatakiwa ukijue kwenye ishu ya kutambulisha wachezaji waliosajiliwa

Ni kuwa mchezaji yule ambaye ni hatari sana ambaye atateka attention kubwa ya watu, huwa hawekwi wakwanza kwenye kutambulishwa

Saido ana mabao 4 na kuna mechi nyingi hajacheza plus na timu yake ambayo haina wachezaji wenye Quality kubwa huoni huo ni uwezo binafsi wa mchezaji?

Sasa kama Saido tu na ubora wake huo bado amekuwa wakwanza kutambulishwa maana yake huko kuna visiki vinakuja ambavyo ni talk of town
 
Upo sahihi mkuu
Screenshot_20221224-135823.jpg
 
Timu ina wazee kama wote
Boko
Nyoni
Mzamiru
Mkude
Onyango
Kapombe
Tshabalala
Na sasa Saido

Halafu mkipoteza ubingwa oooh Wananchi wanatoa bahasha.
 
Timu ina wazee kama wote
Boko
Nyoni
Mzamiru
Mkude
Onyango
Kapombe
Tshabalala
Na sasa Saido

Halafu mkipoteza ubingwa oooh Wananchi wanatoa bahasha.
Suala la bahasha halihusiani na Ubingwa. Kama mnachukua ubingwa mchukue kihalali. Ubingwa sio mali rasmi ya Simba au Yanga. Hata Ihefu wanaweza kuchukua
 
Back
Top Bottom