Timu ya baba yenu mdogo hiyo wametoa maoni haya hukoSuala la bahasha halihusiani na Ubingwa. Kama mnachukua ubingwa mchukue kihalali. Ubingwa sio mali rasmi ya Simba au Yanga. Hata Ihefu wanaweza kuchukua
Ngoja waje 😂Hii timu kuanzia sasa, itambulike tu kama Simba Veteran!! 😃😃
Nimejaribu kuangalia kama kuna kuna ushauri wowote hapo sijauonaTimu ya baba yenu mdogo hiyo wametoa maoni haya hukoView attachment 2456641
Mbona hawajamvalisha jezi za Azam, wanasubiri nini?
Ukiwa na tatizo la kuhitaji ushauri ghafla unakutana na coaster ya makolo imejaa wazee kama mzee bocco, mzee nyoni, mzee saido, mjomba mkude, mzee onyango na mjomba mzamiru wote hawa wakikupa ushauri hakika tatizo lako limekwisha.Nimejaribu kuangalia kama kuna kuna ushauri wowote hapo sijauona
Hata Rais huwa anaongeaga na wazee. Huwezi sikia ameongea na vijana wa Dar. Utasikia ameongea na Wazee wa Dar es salaam. Uzee ni dawa ili mradi kazi inafanyikaUkiwa na tatizo la kuhitaji ushauri ghafla unakutana na coaster ya makolo imejaa wazee kama mzee bocco, mzee nyoni, mzee saido, mjomba mkude, mzee onyango na mjomba mzamiru wote hawa wakikupa ushauri hakika tatizo lako limekwisha.
Messi ni mmoja mwenye umri mkubwa kwenye timu, Makolo ni timu nzimaKati ya hao nani ana mzidi umri Messi?
Mfano wako ni irrelevant, kadiri umri unavyoongezeka basi wachezaji hudrop uwezo wa kucheza mpira tofauti na mfano ulioleta kuwa uzee dawa, hayo yalete kwenye upande wa ushauri ndio uzee dawa ndio maana tunawaambia makolo kwa sasa mtakuwa klabu ya ushauri tu kutokana na maajuza hao ila uwanjani sahau kuhusu kombe.Hata Rais huwa anaongeaga na wazee. Huwezi sikia ameongea na vijana wa Dar. Utasikia ameongea na Wazee wa Dar es salaam. Uzee ni dawa ili mradi kazi inafanyika
Kwa maana hiyo basi hata wewe upo irrelevant maana hao hao wazee ndio wanaoipa matokeo Simba Sc. Mpaka kuwa nafasi waliyopo sasa hiviMfano wako ni irrelevant, kadiri umri unavyoongezeka basi wachezaji hudrop uwezo wa kucheza mpira tofauti na mfano ulioleta kuwa uzee dawa, hayo yalete kwenye upande wa ushauri ndio uzee dawa ndio maana tunawaambia makolo kwa sasa mtakuwa klabu ya ushauri tu kutokana na maajuza hao ila uwanjani sahau kuhusu kombe.
Kwa hiyo mmeridhika kabisa na nafasi yenu, kweli we kolo.Kwa maana hiyo basi hata wewe upo irrelevant maana hao hao wazee ndio wanaoipa matokeo Simba Sc. Mpaka kuwa nafasi waliyopo sasa hivi
Kwani wewe mla mihogo ulitaka tuwe nafasi ya ngapi na ninyi muwe ya ngapi? Tuanzie hapo kwanzaKwa hiyo mmeridhika kabisa na nafasi yenu, kweli we kolo.
Na aliyesema tumeridhika ni nani? Kama tungekuwa tumeridhika usajili unaoendelea ni wanini?Kwa hiyo mmeridhika kabisa na nafasi yenu, kweli we kolo.
Wewe sisi level zingine ongea na wapanda coaster wenzio kina mbeya city na ruvu.Kwani wewe mla mihogo ulitaka tuwe nafasi ya ngapi na ninyi muwe ya ngapi? Tuanzie hapo kwanza
Halafu usisahau Yanga tukiamua, tunawaachia Azam washinde ili mshuke mpaka nafasi ya 3! Hivi inabidi hiyo kesho mtushangilie eti!!!Kwa maana hiyo basi hata wewe upo irrelevant maana hao hao wazee ndio wanaoipa matokeo Simba Sc. Mpaka kuwa nafasi waliyopo sasa hivi
Usajili mnaofanya ni kwa ajili ya kuimarisha klabu yenu ya ushauri maana uzee dawa.Na aliyesema tumeridhika ni nani? Kama tungekuwa tumeridhika usajili unaoendelea ni wanini?
Ndio dawa yao hawa acha tufungwe ili washuke mpaka nafasi waliyoizoea.Halafu usisahau Yanga tukiamua, tunawaachia Azam washinde ili mshuke mpaka nafasi ya 3! Hivi inabidi hiyo kesho mtushangilie eti!!!
Coaster ni aina moja wapo ya usafiri pendwa hapa nchini. Na hakuna kosa kisheria kutumia Coaster. Mbeya City na Ruvu ni miongoni mwa timu unazocheza nazo hata wewe kwa hiyo wote ni level moja tu.Wewe sisi level zingine ongea na wapanda coaster wenzio kina mbeya city na ruvu.
Sio mkiamua. Hiyo ishaisha mshapigwa kama mlivyopigwa mwanzo ila mliwahi kutuma muamala kwa Refa ndio mkajifanya eti mmesawazisha! Kesho bila bahasha mshalala dakika ya tisa tu. Na hivi Fei ndio amewaacha ndio kabisaaaa!!!Halafu usisahau Yanga tukiamua, tunawaachia Azam washinde ili mshuke mpaka nafasi ya 3! Hivi inabidi hiyo kesho mtushangilie eti!!!