Simba kumtambulisha rasmi mchezaji wa kwanza saa saba mchana

Suala la bahasha halihusiani na Ubingwa. Kama mnachukua ubingwa mchukue kihalali. Ubingwa sio mali rasmi ya Simba au Yanga. Hata Ihefu wanaweza kuchukua
Timu ya baba yenu mdogo hiyo wametoa maoni haya huko
Screenshot_20221224-142556_Facebook.jpg
 
Nimejaribu kuangalia kama kuna kuna ushauri wowote hapo sijauona
Ukiwa na tatizo la kuhitaji ushauri ghafla unakutana na coaster ya makolo imejaa wazee kama mzee bocco, mzee nyoni, mzee saido, mjomba mkude, mzee onyango na mjomba mzamiru wote hawa wakikupa ushauri hakika tatizo lako limekwisha.
 
Hata Rais huwa anaongeaga na wazee. Huwezi sikia ameongea na vijana wa Dar. Utasikia ameongea na Wazee wa Dar es salaam. Uzee ni dawa ili mradi kazi inafanyika
 
Mfano wako ni irrelevant, kadiri umri unavyoongezeka basi wachezaji hudrop uwezo wa kucheza mpira tofauti na mfano ulioleta kuwa uzee dawa, hayo yalete kwenye upande wa ushauri ndio uzee dawa ndio maana tunawaambia makolo kwa sasa mtakuwa klabu ya ushauri tu kutokana na maajuza hao ila uwanjani sahau kuhusu kombe.
 
Kwa maana hiyo basi hata wewe upo irrelevant maana hao hao wazee ndio wanaoipa matokeo Simba Sc. Mpaka kuwa nafasi waliyopo sasa hivi
 
Kwa hiyo mmeridhika kabisa na nafasi yenu, kweli we kolo.
 
Halafu usisahau Yanga tukiamua, tunawaachia Azam washinde ili mshuke mpaka nafasi ya 3! Hivi inabidi hiyo kesho mtushangilie eti!!!
 
Na aliyesema tumeridhika ni nani? Kama tungekuwa tumeridhika usajili unaoendelea ni wanini?
Usajili mnaofanya ni kwa ajili ya kuimarisha klabu yenu ya ushauri maana uzee dawa.
 
Halafu usisahau Yanga tukiamua, tunawaachia Azam washinde ili mshuke mpaka nafasi ya 3! Hivi inabidi hiyo kesho mtushangilie eti!!!
Ndio dawa yao hawa acha tufungwe ili washuke mpaka nafasi waliyoizoea.
 
Wewe sisi level zingine ongea na wapanda coaster wenzio kina mbeya city na ruvu.
Coaster ni aina moja wapo ya usafiri pendwa hapa nchini. Na hakuna kosa kisheria kutumia Coaster. Mbeya City na Ruvu ni miongoni mwa timu unazocheza nazo hata wewe kwa hiyo wote ni level moja tu.
 
Hawa viongozi wangefanya uchaguzi Kwa wakati wakaacha.kazi ya kusajili Kwa viongozi wanaokuja hapa.ni kutengenezeana lawama
 
Halafu usisahau Yanga tukiamua, tunawaachia Azam washinde ili mshuke mpaka nafasi ya 3! Hivi inabidi hiyo kesho mtushangilie eti!!!
Sio mkiamua. Hiyo ishaisha mshapigwa kama mlivyopigwa mwanzo ila mliwahi kutuma muamala kwa Refa ndio mkajifanya eti mmesawazisha! Kesho bila bahasha mshalala dakika ya tisa tu. Na hivi Fei ndio amewaacha ndio kabisaaaa!!!
 
Kwa hiyo mmeridhika kabisa na nafasi yenu, kweli we kolo.
Wenzio wapo group stage kwa kishindo,wewe upo kombe la luza kwa ndondokela yaani nyie kweli hamna akili
 
Back
Top Bottom