Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba Queens kuongezeka pamoja ujenzi wa uwanja wa kisasa.
Aidha, Simba kupata covarage pana kutokana na kuongezeka kwa mashabiki mitandaoni kutoka bala Ulaya, bara Asia na Bara America, mauzo ya jezi pamoja na kupata club kubwa rafiki (investment club partnership) zenye sifa kemkem kwenye ulimwengu huu wa soka la kisasa.