Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
quenes ni nini?imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba Queens kuongezeka pamoja ujenzi wa uwanja wa kisasa.
Aidha, Simba kupata covarage pana kutokana na kuongezeka kwa mashabiki mitandaoni kutoka bala Ulaya, bara Asia na Bara America, mauzo ya jezi pamoja na kupata club kubwa rafiki (investment club partnership) zenye sifa kemkem kwenye ulimwengu huu wa soka la kisasa.
Hii ndio ina reflect akili za Mbumbumbu fc wengi yaani ana amini Simba kushirikishwa katika bonanza la AFL kuna kampuni zitakuja kuwekeza.View attachment 2786187
Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba Queens kuongezeka pamoja ujenzi wa uwanja wa kisasa.
Aidha, Simba kupata covarage pana kutokana na kuongezeka kwa mashabiki mitandaoni kutoka bala Ulaya, bara Asia na Bara America, mauzo ya jezi pamoja na kupata club kubwa rafiki (investment club partnership) zenye sifa kemkem kwenye ulimwengu huu wa soka la kisasa.
Umelalamika kwa uchungu mkubwa.Hii ndio ina reflect akili za Mbumbumbu fc wengi yaani ana amini Simba kushirikishwa katika bonanza la AFL kuna kampuni zitakuja kuwekeza.
Timu ambayo ina miaka miwili haina kombe lolote la maana.
Timu ambayo ina miaka mitano mfululizo katika michuano ya kimataifa haijawahi kuvuka ngazi ya robo.
Timu ambayo mashabiki wake wana wastani usio ridhisha kuingia uwanjani katika mechi za ligi ya NBC.
Timu ambayo imepata nafasi ki shemeji ili ishiriki katika mashindano ya AFL na bado mpaka Leo tiketi za kuingia uwanjani bado hazijaisha.
Timu ambayo mpaka leo bado siku moja
Kabla ya mechi wanahamasisha watu kwa kuzunguka vi chochoroni na vi spika ili watu waende uwanjani.
Wakati wapinzani wao Yanga msemaji wao Ally Kamwe alitoa kauli moja tu, uwanja wa Pele pale Kigali Rwanda zaidi ya kilomita 1400 kutoka DSM ulijazwa na masshabiki wa Yanga.
Hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza kwenye timu ambayo imejikita kwenye fitina na makafara, uchawi wa hadharani ili ipate ushindi kwa njia chafu, kwa kufanya hivyo anakwenda kuua Brand ya Kampuni yake.
Gongowazi hawataki kusikia habari hiiView attachment 2786187
Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba Queens kuongezeka pamoja ujenzi wa uwanja wa kisasa.
Aidha, Simba kupata covarage pana kutokana na kuongezeka kwa mashabiki mitandaoni kutoka bala Ulaya, bara Asia na Bara America, mauzo ya jezi pamoja na kupata club kubwa rafiki (investment club partnership) zenye sifa kemkem kwenye ulimwengu huu wa soka la kisasa.
Ni nchi yako, hata ukisusa utakwenda wapi na hawa ndio ndugu zako? Vumilia uone vituko.Nakupenda Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungeongezea timu iliyokaa miaka 25 bila kuingia makundi ya klabu bingwa Africa halafu unataka ionewe huruma kushiriki super cup.Hii ndio ina reflect akili za Mbumbumbu fc wengi yaani ana amini Simba kushirikishwa katika bonanza la AFL kuna kampuni zitakuja kuwekeza.
Timu ambayo ina miaka miwili haina kombe lolote la maana.
Timu ambayo ina miaka mitano mfululizo katika michuano ya kimataifa haijawahi kuvuka ngazi ya robo.
Timu ambayo mashabiki wake wana wastani usio ridhisha kuingia uwanjani katika mechi za ligi ya NBC.
Timu ambayo imepata nafasi ki shemeji ili ishiriki katika mashindano ya AFL na bado mpaka Leo tiketi za kuingia uwanjani bado hazijaisha.
Timu ambayo mpaka leo bado siku moja
Kabla ya mechi wanahamasisha watu kwa kuzunguka vi chochoroni na vi spika ili watu waende uwanjani.
Wakati wapinzani wao Yanga msemaji wao Ally Kamwe alitoa kauli moja tu, uwanja wa Pele pale Kigali Rwanda zaidi ya kilomita 1400 kutoka DSM ulijazwa na masshabiki wa Yanga.
Hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza kwenye timu ambayo imejikita kwenye fitina na makafara, uchawi wa hadharani ili ipate ushindi kwa njia chafu, kwa kufanya hivyo anakwenda kuua Brand ya Kampuni yake.
Unapenda kuandika insha ndefu kuonyesha ni jinsi gani unaumia..yani ni jinsi gani uko serious kwny chuki zako...Hii ndio ina reflect akili za Mbumbumbu fc wengi yaani ana amini Simba kushirikishwa katika bonanza la AFL kuna kampuni zitakuja kuwekeza.
Timu ambayo ina miaka miwili haina kombe lolote la maana.
Timu ambayo ina miaka mitano mfululizo katika michuano ya kimataifa haijawahi kuvuka ngazi ya robo.
Timu ambayo mashabiki wake wana wastani usio ridhisha kuingia uwanjani katika mechi za ligi ya NBC.
Timu ambayo imepata nafasi ki shemeji ili ishiriki katika mashindano ya AFL na bado mpaka Leo tiketi za kuingia uwanjani bado hazijaisha.
Timu ambayo mpaka leo bado siku moja
Kabla ya mechi wanahamasisha watu kwa kuzunguka vi chochoroni na vi spika ili watu waende uwanjani.
Wakati wapinzani wao Yanga msemaji wao Ally Kamwe alitoa kauli moja tu, uwanja wa Pele pale Kigali Rwanda zaidi ya kilomita 1400 kutoka DSM ulijazwa na masshabiki wa Yanga.
Hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza kwenye timu ambayo imejikita kwenye fitina na makafara, uchawi wa hadharani ili ipate ushindi kwa njia chafu, kwa kufanya hivyo anakwenda kuua Brand ya Kampuni yake.
na hapo bado hajasema na atasema tu yani mpaka aseme.Unapenda kuandika insha ndefu kuonyesha ni jinsi gani unaumia..yani ni jinsi gani uko seriois kwny chuki zako...
Wamevurugw wakavurugikana hapo bado hajasema na atasema tu yani mpaka aseme.
Tumekwisha zoea kauli zenu za mafanikio hewaView attachment 2786187
Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba Queens kuongezeka pamoja ujenzi wa uwanja wa kisasa.
Aidha, Simba kupata covarage pana kutokana na kuongezeka kwa mashabiki mitandaoni kutoka bala Ulaya, bara Asia na Bara America, mauzo ya jezi pamoja na kupata club kubwa rafiki (investment club partnership) zenye sifa kemkem kwenye ulimwengu huu wa soka la kisasa.
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tuHii ndio ina reflect akili za Mbumbumbu fc wengi yaani ana amini Simba kushirikishwa katika bonanza la AFL kuna kampuni zitakuja kuwekeza.
Timu ambayo ina miaka miwili haina kombe lolote la maana.
Timu ambayo ina miaka mitano mfululizo katika michuano ya kimataifa haijawahi kuvuka ngazi ya robo.
Timu ambayo mashabiki wake wana wastani usio ridhisha kuingia uwanjani katika mechi za ligi ya NBC.
Timu ambayo imepata nafasi ki shemeji ili ishiriki katika mashindano ya AFL na bado mpaka Leo tiketi za kuingia uwanjani bado hazijaisha.
Timu ambayo mpaka leo bado siku moja
Kabla ya mechi wanahamasisha watu kwa kuzunguka vi chochoroni na vi spika ili watu waende uwanjani.
Wakati wapinzani wao Yanga msemaji wao Ally Kamwe alitoa kauli moja tu, uwanja wa Pele pale Kigali Rwanda zaidi ya kilomita 1400 kutoka DSM ulijazwa na masshabiki wa Yanga.
Hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza kwenye timu ambayo imejikita kwenye fitina na makafara, uchawi wa hadharani ili ipate ushindi kwa njia chafu, kwa kufanya hivyo anakwenda kuua Brand ya Kampuni yake.
Vipi taswira ya Simba kimataifa utaweza kufananisha na yanga?Hii ndio ina reflect akili za Mbumbumbu fc wengi yaani ana amini Simba kushirikishwa katika bonanza la AFL kuna kampuni zitakuja kuwekeza.
Timu ambayo ina miaka miwili haina kombe lolote la maana.
Timu ambayo ina miaka mitano mfululizo katika michuano ya kimataifa haijawahi kuvuka ngazi ya robo.
Timu ambayo mashabiki wake wana wastani usio ridhisha kuingia uwanjani katika mechi za ligi ya NBC.
Timu ambayo imepata nafasi ki shemeji ili ishiriki katika mashindano ya AFL na bado mpaka Leo tiketi za kuingia uwanjani bado hazijaisha.
Timu ambayo mpaka leo bado siku moja
Kabla ya mechi wanahamasisha watu kwa kuzunguka vi chochoroni na vi spika ili watu waende uwanjani.
Wakati wapinzani wao Yanga msemaji wao Ally Kamwe alitoa kauli moja tu, uwanja wa Pele pale Kigali Rwanda zaidi ya kilomita 1400 kutoka DSM ulijazwa na masshabiki wa Yanga.
Hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza kwenye timu ambayo imejikita kwenye fitina na makafara, uchawi wa hadharani ili ipate ushindi kwa njia chafu, kwa kufanya hivyo anakwenda kuua Brand ya Kampuni yake.
Akijifungua ataacha,ni ujauzito tuUmelalamika kwa uchungu mkubwa.
Karia,body ya ligi na caf wanaipendelea sana Simba.
pole yataisha haya.futa machozi mungu yupo, Utopolo mtacheza na nyinyi baada ya miaka 1000.
Pole kwa maumivu!!!!wanathimbaaa gonga like twende sawa.Hii ndio ina reflect akili za Mbumbumbu fc wengi yaani ana amini Simba kushirikishwa katika bonanza la AFL kuna kampuni zitakuja kuwekeza.
Timu ambayo ina miaka miwili haina kombe lolote la maana.
Timu ambayo ina miaka mitano mfululizo katika michuano ya kimataifa haijawahi kuvuka ngazi ya robo.
Timu ambayo mashabiki wake wana wastani usio ridhisha kuingia uwanjani katika mechi za ligi ya NBC.
Timu ambayo imepata nafasi ki shemeji ili ishiriki katika mashindano ya AFL na bado mpaka Leo tiketi za kuingia uwanjani bado hazijaisha.
Timu ambayo mpaka leo bado siku moja
Kabla ya mechi wanahamasisha watu kwa kuzunguka vi chochoroni na vi spika ili watu waende uwanjani.
Wakati wapinzani wao Yanga msemaji wao Ally Kamwe alitoa kauli moja tu, uwanja wa Pele pale Kigali Rwanda zaidi ya kilomita 1400 kutoka DSM ulijazwa na masshabiki wa Yanga.
Hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza kwenye timu ambayo imejikita kwenye fitina na makafara, uchawi wa hadharani ili ipate ushindi kwa njia chafu, kwa kufanya hivyo anakwenda kuua Brand ya Kampuni yake.
Wewe unalalamika kila siku maisha magumu,ushakula?Tumekwisha zoea kauli zenu za mafanikio hewa
Kama unabisha ngoja tuone kinachofuata,
Mnayo mafanikio ya kuongea tu mpaka sass na tayari litimu lenu limetajirika ki hewa hewa tu mpaka sasa
Na mtaoata mafanikio zidi y haya hasa mkia n msemaji muongo muongo muongo na mropokaji kama huyu mli nae anaetwala vichwa vyenu, kiongea wote mbumbu mnaka kimya kumsikiza, likisha maliza kuropoka mnalipigi makofi hy kama limeongea pumba
Hapo ndipo nausikia ulenwimbo wa mariooo na Reyvan
'hivi unakili wewe,, zinachaji kweli,,,,,,,,
Mlizieni asee
Unijibu msinijibu kivyenu
Huo ndo ukweli sifuti kauli makolokolo ovyoo[emoji41]
Umemaliza kila kitu huu uzi ufungweHii ndio ina reflect akili za Mbumbumbu fc wengi yaani ana amini Simba kushirikishwa katika bonanza la AFL kuna kampuni zitakuja kuwekeza.