Ulitaka wote tuwe tunaishabikia Simba?Nawashauri Nkana wasisahau kuondoka na mashabiki wao
Kila la heriYanga wanatia huruma simbaa anakula 1.3b Kutoka cuf na 0.3b kutoka short pesa
Mtajibeba MA michango yenu ya buku buku
😠😠😠😠Vip jicho lako la tatu liko wap?
Au ndo tatu alizopata thimba?
Simba itapata bao Tu bila shida lakini kuwazuia Nkana wasipate bao ndiyo itakuwa kazi ngumu Kwa Simba.
Duuh muda kama huu kesho tutakua na cha kusema
samahani mkuu, unaendeleaje?Hilo tumelipokea kwa Mikono miwili kabisa,kikosi kazi cha Matarumbeta cha Yanga kutoka Ubungo Terminal na Yanga whatsApp Supporter kitakuwa Taifa mapema iwezekanavyo.
Fellow Zambians, I honour your kindly support for Nkana FC tomorrow at the National Stadium in Daresalam.
United we stand, divided we fall.
On behalf of all Zambians residing in Tanzania, we are full committed to ensure that the Red Devils, Nkana FC, knocks out Simba Sc.
Simba itapata bao Tu bila shida lakini kuwazuia Nkana wasipate bao ndiyo itakuwa kazi ngumu Kwa Simba.
The match was fabulous fantastic and Simba won only by chance, it was their day and we really tried harder, anyway we shall be proceeding to the confederation cup and thats our only desire.You are welcome dude, how did mighty Nkana do today?
Jinga thana, Vyura FcView attachment 975195
Kamati ya roho mbaya tupo tayari kabisa nikiwa kama msemaji wao
Nkana mje na viroba vya mchele maana kwa njaa iliyopo Yanga hata nguvu za kushangalia hawana.
*binafsi usije ukaamini Timu za tanzania,. Mimi ni mshabiki wa Simba tokea zamani sana,.. Lakini hizi Timu pale utapoiamini kwa kiwango kikubwa Hapo Ndipo wanapokuumiza saana,.. Mfano taifa stars huko lesotho, nilishapoteza imani kabisa Kuhusu Hii Timu yetu But nilivyoanza kuipenda kwa dhati Ndipo wakaniumiza sana kwa kiasi kikubwa saaana,.. Nawashauri tu Simba ni Timu yetu pendwa usiweke matumaini sana maana Ukiweka matumaini makubwa utaumia sana na Usiku wako utakua mbaya sana
Nkana ni wachezaji wazuri nawashauri wanasimba wenzangu tusiende na Matokeo kichwani , msije mkaumia sana,..
Pamoja na hayo,kipigo cha Mikia kipo pale pale na Sisi mashabiki wa kujitolea wa Nkana tupo nao bega kwa bega mpaka kieleweke.
Nasikia mnaongoza dunian kwa kushabikia timu nyingi, mfano juzi kati mlishabikia mbabane, na nkana sasa bado kwenye makundi!Ndiyo hivyo. Maisha yanaendelea.
Tumeshinda tatu mkuuNakusubiri useme, mechi imeishaje leo hii?
hapo nani bashiteWe lete ubashite wako kwa mambo serious