Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Yanga wanatia huruma simbaa anakula 1.3b Kutoka cuf na 0.3b kutoka short pesa

Mtajibeba MA michango yenu ya buku buku
 
You are welcome dude, how did mighty Nkana do today?
The match was fabulous fantastic and Simba won only by chance, it was their day and we really tried harder, anyway we shall be proceeding to the confederation cup and thats our only desire.
Sorry for the fans who travelled all their way from Zambia, let's not lose hope, we shall make it next time.
 
*binafsi usije ukaamini Timu za tanzania,. Mimi ni mshabiki wa Simba tokea zamani sana,.. Lakini hizi Timu pale utapoiamini kwa kiwango kikubwa Hapo Ndipo wanapokuumiza saana,.. Mfano taifa stars huko lesotho, nilishapoteza imani kabisa Kuhusu Hii Timu yetu But nilivyoanza kuipenda kwa dhati Ndipo wakaniumiza sana kwa kiasi kikubwa saaana,.. Nawashauri tu Simba ni Timu yetu pendwa usiweke matumaini sana maana Ukiweka matumaini makubwa utaumia sana na Usiku wako utakua mbaya sana

Nkana ni wachezaji wazuri nawashauri wanasimba wenzangu tusiende na Matokeo kichwani , msije mkaumia sana,..

You are right ila tatizo liko kwa Yanga na labda timu zingine hizi ila si kwa Simba. Kawaida hata ukiangalia katika historia ya nchi yetu tukiondoa ushabiki wa kinjinga, ni Simba pekee ndiyo ina matumaini ya kwenda mbali. Timu pekee yenye kuweza kuleta maajabu hapa Tanzania ama ukanda huu wa Afrika Mashariki ni Simba pekee, hakuna mwingine.
 
Pamoja na hayo,kipigo cha Mikia kipo pale pale na Sisi mashabiki wa kujitolea wa Nkana tupo nao bega kwa bega mpaka kieleweke.

Kweli mmekula hasara kulipa kiingilio kisha mmetoka bila hata kupata viroba vya mchele. Poleni sana.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Vyura mliwapokea Nkana waonyesheni njia ya kutokea. Ili wuwe wenyeji wazuri.
Wee Chama wewe .
Tayari 1.2 bilioni kibindoni wengine wanachangisha kwenye ndoo.
 
Back
Top Bottom