Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Nawashauri Nkana wasisahau kuondoka na mashabiki wao
Mlikuwa hivyo miaka ile mitatu mkiwa porini. Ni kawaida au tumeanza sisi?Nasikia mnaongoza dunian kwa kushabikia timu nyingi, mfano juzi kati mlishabikia mbabane, na nkana sasa bado kwenye makundi!
Pambaneni na hali zenu mfanye uchaguzi kwanza!
VpKikosi bora kinafungwa na Mbao FC
Yanga wanatia huruma simbaa anakula 1.3b Kutoka cuf na 0.3b kutoka short pesa
Mtajibeba MA michango yenu ya buku buku
Du hii kauli sijui inageuzwaje muda huu!Simba kufuzu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Pole sana, najua umeandika hivyo kwa nguvu ya bakuli!Mlikuwa hivyo miaka ile mitatu mkiwa porini. Ni kawaida au tumeanza sisi?
Kama bakuli linaleta point tatu muhimu, liendelee tu.Pole sana, najua umeandika hivyo kwa nguvu ya bakuli!
The match was fabulous fantastic and Simba won only by chance, it was their day and we really tried harder, anyway we shall be proceeding to the confederation cup and thats our only desire.
Sorry for the fans who travelled all their way from Zambia, let's not lose hope, we shall make it next time.
umepata matokeo?Simba itapata bao Tu bila shida lakini kuwazuia Nkana wasipate bao ndiyo itakuwa kazi ngumu Kwa Simba.
Muulize mwenye jina hilohapo nani bashite
πππππAhaaaaa Mze Akilimali umetisha.
Ulitaka tukwambie unashinda au?Tuliwaambia hawakusikia. Nkana hayawahi kupona hapa Tanzania. Mara zote kapigwa 2 ,3 na leo 3-1.
Wakasema ohh ni historia.
This is SIMBA brother.
Ambachowamekutana nacho leo nkana watasimuliaAsante mkuuView attachment 975156
Hasa lile goli la kimasimango la Chama, kama vile mazoezini kumbe big match.Ambachowamekutana nacho leo nkana watasimulia
BalaaaView attachment VID-20181223-WA0009.mp4Hasa lile goli la kimasimango la Chama, kama vile mazoezini kumbe big match.
Za asubuhi mkuuSimba kufuzu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano