Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Nawashauri Nkana wasisahau kuondoka na mashabiki wao
Mbona walishawatema kitambo, yaani pale pale Taifa. Mashabiki wa Yanga walikwenda kudai viroba vya mchele na unga kwenye bus la Nkana na wakaambiwa na uongozi wa Nkana kuwa kule kushangilia kulikuwa ni ushabiki uchwara tu na wao kama timu ya Zambia hawana jukumu la kulisha mashabiki wa kujitolea wa Yangu kwani walifanya vile kwa hiyari yao na hawakulazimishwa. Yanga wanalitia taifa letu haibu sana, yaani they are worse than Wagogo wa Stesheni na barabara ya Bibi Titi.