C Chipolopolo JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 1,425 Reaction score 726 Dec 24, 2018 #281 kodian said: Injiniaa soma hkoo[emoji2][emoji2][emoji2] Click to expand... Tatuuuuuuu!
V Vumilika JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 1,748 Reaction score 2,127 Dec 24, 2018 #282 Napenda kutoa pongezi za dhati kabisa kwa Simba SC na watanzania kwa ujumla katika ushindi ambao utakumbukwa na kuwekwa katika historia ya soka barani Afrika.
Napenda kutoa pongezi za dhati kabisa kwa Simba SC na watanzania kwa ujumla katika ushindi ambao utakumbukwa na kuwekwa katika historia ya soka barani Afrika.
J jigwam JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 676 Reaction score 557 Dec 24, 2018 #283 Bumbavu mlikuja mkijua mnyama anafungwa mmeumbuka,hii simba nyingine bwana.Mkakimbia uwanyani magoli yalivyorudi.
Bumbavu mlikuja mkijua mnyama anafungwa mmeumbuka,hii simba nyingine bwana.Mkakimbia uwanyani magoli yalivyorudi.