Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Napenda kutoa pongezi za dhati kabisa kwa Simba SC na watanzania kwa ujumla katika ushindi ambao utakumbukwa na kuwekwa katika historia ya soka barani Afrika.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Bumbavu mlikuja mkijua mnyama anafungwa mmeumbuka,hii simba nyingine bwana.Mkakimbia uwanyani magoli yalivyorudi.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom