Tetesi: Simba kupata Captain mpya hivi karibuni

Tetesi: Simba kupata Captain mpya hivi karibuni

Nani anastahili kuwa nahodha mpya wa Simba?

  • Henock Inonga

    Votes: 11 16.7%
  • Shomari Kapombe

    Votes: 7 10.6%
  • Clatous Chama

    Votes: 12 18.2%
  • Che Malone

    Votes: 3 4.5%
  • Fabrice Ngoma

    Votes: 4 6.1%
  • Mzamiru Yassin

    Votes: 4 6.1%
  • Moses Phiri

    Votes: 2 3.0%
  • Denis Kibu

    Votes: 16 24.2%
  • Essomba Onana

    Votes: 5 7.6%
  • Kennedy Juma

    Votes: 2 3.0%

  • Total voters
    66
  • Poll closed .
Katika walioorodheshwa hakuna anayestahili kuwa captain. Bora abaki Bocco otherwise mtaendelea kuburuzwa tu zaidi ya hapa
 
Apewe maestro wa mpira beki bora zaidi niliewahi kumshuhudia machoni pangu Tanzania


Henock Inonga Bacca Varane✅✅✅
 
Mohammed Hussein anastahili kupewa na msaidizi wake apewe Che Malone.
 
tukutane hapa jmos baada ya dk 90+
Point yangu mimi sio 5imba kutokufungwa.
Mimi mwenyewe naomba wapigwe wachakae maana wameshaanza kuchonga midomo, ile 5G ya YANGA kama imeshapoa poa hivi.
Hoja yangu kubwa ilikua hiyo ya kusema hawatakubali kama vile hizó mechi 2 walikubali kwa hiari yao kufungwa.
 
Kibu Mkandaji kashamfikia Chama kwenye kura. Kweli Mkandaji anakubalika, nafikiri akiwaka kule Marrakech jmosi kura zake zitaongezeka maradufu
 
Huyu hapo kiboko ya Al Ahly anafaa kuchukua unahodha wa timu yetu.
FB_IMG_1701925913859.jpg
 
Back
Top Bottom