Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
AaahaaaBocco ndio injini ya timu, tafadhali sana aendelee kubaki na kitambaa cha unahodha.
Simba inamuhitaji Bocco kuliko kipindi chochote.
Naunga mkono hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaBocco ndio injini ya timu, tafadhali sana aendelee kubaki na kitambaa cha unahodha.
Simba inamuhitaji Bocco kuliko kipindi chochote.
Kwani hizo mbili alikubali kupoteza?Simba kwenye mech hyo anakufa, wydad kapoteza mech 2, hatakubali kupoteza ya 3 kabisa.
tukutane hapa jmosi baada ya dk 90+Kwani hizo mbili alikubali kupoteza?
About ndio anafaa msaidizi wake awe duchu au konde boy.Mbona haujamweka Mohamed Hussein? Mm naona anajituma sana na ana moyo na Simba...
He is Simba's Icon....
Kwani hizo mbili alikubali au alipenda?Simba kwenye mech hyo anakufa, wydad kapoteza mech 2, hatakubali kupoteza ya 3 kabisa.
tukutane hapa baada ya dk 90+Kwani hizo mbili alikubali au alipenda?
Yote mema tu
Point yangu mimi sio 5imba kutokufungwa.tukutane hapa jmos baada ya dk 90+
Kwamba Simba inamuhitaji bocco kuliko bocco anavyoihitaji simbaBocco ndio injini ya timu, tafadhali sana aendelee kubaki na kitambaa cha unahodha.
Simba inamuhitaji Bocco kuliko kipindi chochote.
Naam...Kwamba Simba inamuhitaji bocco kuliko bocco anavyoihitaji simba